Je, huu ni mwendelezo wa kuporwa mali za umma? Tangu Lini Kituo cha Polisi kikapangishwa kwenye jengo la CCM?

Nyerere aliiharibu sana hii nchi kuunganisha chama na vyombo vya dola.
 
Kila mwenye macho jionee mwenyewe halafu Toa maoni yako

View attachment 2216815
Hii nyumba haiko kwenye TBS za Kituo cha Polisi isipokuwa inavyoonekana Polisi wapo hapa kwa dharura; wameona ni bora zaidi kuwepo kwenye nyumba hii kuliko kutokuwepo kabisa kwa Kituo cha Polisi sehemu hii. Mbali na hayo, nyumba hii vile vile haiko kwenye TBS za CCM. Kwa hiyo ninavyoona mimi, wote Polisi na CCM, ni wapanganji kwenye nyumba hii.

Unless kama kuna sheria inayozuia uwepo wa Polisi pale ambapo CCM wanakuwa wamepangishwa, au the vice-versa
 
Back
Top Bottom