Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa Makonda?

Tanzania Rais anaweza kukufanya chochote wakati wowote na usifanye chochote.

Mifano halisi ni tukio la Akwilina na Tundu Lissu.

Kwanza jamii yetu sasa hivi ina hulka ya kuabudu ( idolize ) wenye pesa na madaraka.

Kwao mtu mwenye madaraka hakosei, hata akikosea hadharani utaambia alikuwa na nia nzuri ila wasaidizi wake ndio waliamwangusha.

Ukweli ni kwamba mambo aliyofanya Makonda akitumwa na Magu, lakini wakitaka kumwangushia jumba bovu ni dakika zero tu na hatakuwa na cha kufanya.
Siasa ni kitu kipana sana ambacho wengi wetu hatuelewi tunajiandikia tunayo jisiki bila kuufanyia kazi ukweli wa kisiasa.

Kumshambulia mtuu wa kanda ya Magharibi wakati huu, inataka ufanye timing ya kutosha. Ikumbukwe Mikoa 15 yenye 77% ya watanzania iliungana kwa pamoja na kwa ukaribu wa kutisha na Marehemu Magufuli.
Mikoa ya Mara,Mwanza Simiyu, Shinyanga, Geita, Kagera, Tabora, Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa, Dodoma Lindi, Ruvuma, Pwani,Tanga na Mtwara.
Kuna ukaribu tunaushuhudia kutoka maeneo hayo kuungana kuhakikisha Magufuli anabakiwa na legacy yake without being tainted.

Mama ni mwana siasa analijua hilo. Hawezi kufanya lolote labda 2026. Sana sana atatoa upendeleo ambao hatuufikirii kwa miradi na kutembelea kikazi .

Anaelekea Mwanza na bado kuna Mikoa hiyo hiyo ya Magharibi bado atatembelea wakati Mikoa mingine hatotoa muda wa kutosha kuitembelea na kuipa miradi Mikubwa .
 
Acha uzushi.

Mimi mwenyewe nyumbani ni huko huko.

Kwa taarifa yako, mimi nimekuja Dar 2013 maisha yangu yote ni kanda ya ziwa.

Hakuna kitu utanidanganya.

Anyway, Nchi hii kura siyo hitimisho la kuchagua Rais.

Mwinyi kasimikwa Zanzibar kwa nguvu ya jeshi na mpaka sasa hakuna kinachoendelea.

Huyo takataka wenu amevuruga sasa mnalazimisha kumficha nyuma ya kanda ya ziwa.

Eti legacy. Kwa taarifa yako legacy siyo lazima yawe mambo mema, hakuna mtu asiye na legacy.
 
toka magufuli afariki ndio naamini kweli umasikini ni ugonjwa mmbaya sana,na unajionesha hadharani.

wakati sabaya bado ni mtuhumiwa tu,na akiwa ana kila dalili za kuachiwa kisheria.kuna kundi linaamini makonda atafungwa
 
Back
Top Bottom