Je, Humphrey Polepole majukumu yote haya ataenda nayo au kuna mojawapo anatakiwa kuliacha ili awe na Ufanisi kwingine?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mbunge wa Ilala Mussa Azzan 'Zungu' amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama na Humphrey Polepole kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.

Sasa All - Rounder naanza Kuamini ile Kauli ya Kiimani kuwa mwenye Kidogo basi huendelea Kuongezewa na ambaye hana Yeye alie / anune tu.

Taarifa: globalpublishers
 
Back
Top Bottom