Je, huduma ya LUKU ina shida gani?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,142
15,130
1621335155187.png

Tangu jana kununua umeme inazingua kwa mitandao ya simu nikajaribu kwa mobile banking ila leo ndio nikapata token.

Ajabu token haiingii na sijajua ni mimi tu au wengi wanakumbana na hili tatizo maana sijaona tamko lolote toka Tanesco.
 
Bwana TANESCO aje hapa na maswali yake, ya kutuomba wilaya na namba za simu.
Tokea jana MPESA, haikubali, kununua LUKU, kumbe hata nikinunua token inasumbua kuingia kwenye mita.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Yaani hapa day 2 naenda kulala gizani! Sijui ni tatizo gani kubwa hivi wanashindwa kutatua ndani ya siku2? Shame!
 
Yaani hapa day 2 naenda kulala gizani! Sijui ni tatizo gani kubwa hivi wanashindwa kutatua ndani ya siku2? Shame!
Alisema tutamkumbuka...huu ujnga ulishaga isha...siku mbili tatizo kubwa hivi ila wote kimya
 
Hii issue ya ununuzi wa LUKU mbona imekuwa janga la taifa? Mh SSH fanya kitu kwa hao wapuuzi wa TANESCO naona wanakuletea mzaha,haiwezekani kununua umeme iwe ni kubahatisha...tangia asubuhi umeme wa LUKU haupatikani.
 
Back
Top Bottom