Je, huchukua muda gani na gharama kiasi gani ili kupata kibali cha ujenzi?

mwakifamba

Member
Sep 7, 2014
48
15
Habari

Kama MTU yuko kibamba katka eneo la viwanja vilivyopimwa na kampuni inayouza viwanja vilivyoshapimwa na MTU unataka aanze ujenzi

Je,ni muda gani na sh ngapi inatumika hadi upate kibali cha ujenzi?

Naombeni uzoefu wenu has a kwa ambao tayari washajenga
 
Nadhan ni halmashauri...ila unaweza ukaanzia ofisi ya kata husika utapata ufafanuzi zaidi!
 
Huitaji kibali cha kujenga. Watafute wale wanaoandikaga 'SIMAMISHA UJENZI'. Wahonge pesa kidogo uanze kujenga.
 
Gharama zikoje? Tafadhali nifahamishe
Gharama inabidi uende na mchoro wako Halmashauri husika ndio watakupa kulingana na ukubwa wa jengo lako. Kama huna mchoro bado basi inabidi umuone Msanifu majengo kwanza akutengenezee mchoro.
 
Garama sio kubwa sana,wana-calculate kwa m sq;kama ni gorofa watachukua m sq ya floor ya chini unazidisha na idadi ya floor
 
Back
Top Bottom