Je, hizi zaweza kuwa dalili za Pumu asthma?

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Habari za majukum wadau,

Kuna mtoto wa mwaka mmoja sasa anasumbuliwa sana na kifua yaani anakohoa sana ikifika kuanzia midnight ila mchana kutwa husikii akikohoa. Hii ni baada ya kulala kwa muda then anzakukohoa kwa takribani nusu saa mpka lisaa akiwa usingizi mda mwingine mpka inabid aamshwe.

Aga Khan alionekana hana tatizo lolote ila alipewa inhaler ambayo kwa siku alizoandikiwa atumie ilisaidia kidogo.

Je, kuna mjuzi au ushauri dawa gani tutumie maana nahisi itakua ni dalili za pumu (asthma).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom