Je hizi ni habari za ukweli juu ya ikopo ya elimu ya juu mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hizi ni habari za ukweli juu ya ikopo ya elimu ya juu mwaka huu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ISACOM, Sep 15, 2009.

 1. ISACOM

  ISACOM JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hivi ni kweli kuhusu taarifa za bodi ya mikopo wa elimu ya juu mwaka huu,kuwa mkopo watapata wanafunzi wa faculty of science and faculty of education.Maana hizi taarifa zinatuchanganya kutokana na tetesi za mitaani.Naomba kwa yeyote mwenye taarifa juu ya hilo atupe (briefly).
   
  Last edited: Sep 16, 2009
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Hizo si taarifa sahihi. Bodi ya mikopo wanatoa inf zao mara kwa mara. Hao jamaa wa science na education watapata mikopo hadi division three maana ndio priority, wengine mwisho division two
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  ....na kwamba wa Science na Education watapewa mkopo 100% wakati wengine inaweza kuwa pungufu?
   
Loading...