Je hizi kauli mbili zinatusaidia sisi vijana au nikukatishana tamaa?

Fasta fasta

JF-Expert Member
Feb 15, 2011
1,126
725
Ninanukuu, wanasema hakuna elimu Tanzania wakati mpaka panya wanaelimu ya kujua sehemu yenye mabomu.

Sikumwelewa vizuri kati ya panya na wanafunzi alikuwa anamaanisha nini wadau. Panya apewe mkopo au vipi? Tupeane maelekezo vizuri.

Panya watapata ajira na watasaidia taifa, lakini vijana mnalitia hasara taifa.

Atakaewapa wanafunzi waliosoma shule binafsi mkopo atakuwa kichaa. Hawa vijana kama wazazi wao wamesaidiwa au mzazi amepata tatizo la kipato huyu KIJANA atafanya je?

Mbunge akaachia yake huko Dodoma siku akiachana na siasa atakwenda kuuza dawa ya panya.

Huyu Mbunge atashtakiwa au itakuwa je? Wakati panya kaonekana anaelimu yakusaidia taifa.
 
Ni moja ya namna ya kumtawala mtu ukimnyima elimu, unataka waelimike ilihali tamko limetoka?
Hakika mda bado hadi akili zituingie sawa sawa kwakuwa tunajitakia haya tunayoyaona leo
 
Back
Top Bottom