Je, hizi dalili za tumbo kuuma kwenye kitovu zinaonyesha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, hizi dalili za tumbo kuuma kwenye kitovu zinaonyesha nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mwanaweja, May 28, 2012.

 1. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ndugu zangu poleni na majukumu ya maisha. Naomba msaada wenu wa kila hali ninatatizo la kuumwa tumbo hii ni mara yangu ya tatu ndani ya miezi 6. Tumbo linaanza taratibu kuuma na ndani ya masaa 2-3 baadaye maumivu yanaongezeka kwenye kitovu huwezi kulala na mwisho wake kutapika sana bila kwenda haja. Sijapata nini kinachosababisha mpaka sasa maana mara ya kwanza nilifikiria chakula nilichokuwa nimekula, mara ya pili sikuapata jibu ila hii ya juzi naona sasa ni ungonjwa ambao unanyemelea kwa kasi sana maana nilienda hospital nikapigwa X-ray,na Ultrasound pamoja na kuchuliwa na damu lakini mwishoni Doctor aliniambia may be ni appendicitis. na alishauri nifanye upasuaji lakini kulinga na mazigira yalivyo hapa sikutaka kufanya operation maana watu wengi waliofanyiwa operation kabla ya kutibu tatizo wanaongeza matatizo ndani ya miili yao. Baada ya kumuomba Doctor kama kunanjia nyingine nje ya operation akashauri waniwekea drip 6 na nikae siku 3 kama sijapata nafuu niende kufanyiwa upasuaji.niliendelea siku zilizofuata nilikuwa nawekewa drip 2 kila siku kwa siku 3 zaidi. Kweli sasa niko okay! lakini swali langu huu ugonjwa unatoakana na nini na kweli ni appendicitis ( kidole tumbo) au ni ugonjwa mwingine?
  na kama appendicitis kuna dawa gani za kutumia nje ya operation? au ni operation tu?
  Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu na Mungu awabariki sana.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  POle@[B][URL="https://www.jamiiforums.com/members/mwanaweja.html"]Mwanaweja[/URL] Matatizo hayo mimi pia yaliwahi kunikuta miaka ya 20 iliyopita nilikuwa naumwa na kitovu Dawa iliyonisaidia alipa Marehemu mama yangu ni pata Ufuta kijiko kimoja changanya na Habat Sauda kijiko kimoja uwe unakula pamoja kila wakati tumbo hilo la kitovu linapokushika tumia kila siku kutwa mara 3 asubuhi mchana na usiku kwa ule muda unapoumwa kisha unipe feedback.


  Habat sauda kwa kiingereza inaitwa Nigella Sativa inapatikana sokoni Kariakoo Mitaa ya nyamezi maduka ya Wapemba wauza Dawa za kiarabu au Mtaa wa pemba hapo hapo Sokoni kariakoo. Angalia picha yake hii

  [/B][​IMG] [​IMG]

  Habat Sauda (Nigella Sativa Seed)
   
Loading...