Je, hivi TCU wanaweza fungua tena dirisha la mwisho la nne?

AU ngoja ni mshauri huyu , the aibuke moja kwa moja pale TCU ,
 
Udom na udsm wameshatoa selection maan nikiangalia kwenye account zangu bado
 
Tuombe mungu maana kuna watu wana one zao za 8 to 9 YAANI DAAAAAAH& NGOJA NIMSHAURI TUUU ABADILI FAN
 
Hii ni press release ya TCU kweli?

Ahsante
Sidhani kama ni Press Release yao (angalia jinsi ilivyo andikwa-muandishi anareport Kihampa alichosema), lakini content zake zina uhalisia kwani bado wapo ambao hawajapata wa kutosha na vyuo bado vina nafasi. Kwa mfano UDOM bado MD kuna vijana 195 hawaja confirm. Ikifika September 30, 2019 wale ambao hawaja confirm nafasi zao zinarudi sokoni. UDSM wako 1627 hawaja confirm hadi kufikia round ya 3. Hawa ambao hawaja confirm wanatakiwa wawe makini sana au sivyo .........
 
ii system siyo rafiki kwa mtu anaekaa kijijin ana pc au smartphne.
 
Sidhani kama ni Press Release yao (angalia jinsi ilivyo andikwa-muandishi anareport Kihampa alichosema), lakini content zake zina uhalisia kwani bado wapo ambao hawajapata wa kutosha na vyuo bado vina nafasi. Kwa mfano UDOM bado MD kuna vijana 195 hawaja confirm. Ikifika September 30, 2019 wale ambao hawaja confirm nafasi zao zinarudi sokoni. UDSM wako 1627 hawaja confirm hadi kufikia round ya 3. Hawa ambao hawaja confirm wanatakiwa wawe makini sana au sivyo .........
Mzee kwa data gani?,sababu hata carrying capacity ya chuo ni 175
 
Back
Top Bottom