Je, hili ndio tatizo vijana wengi wa siku hizi kuwa na vipara ukilinganisha na wa zamani

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,764
Inakuwaje wanajamvi,

Yani ukiangalia picha na video za miaka ya tisini kurudi nyuma vijana wengi hadi wa makamu miaka 45+ walikuwa na afro na nywele nyingi. Ngumu sana kukuta vipara.

Ila sasa hivi kwaanzia ma teenegers hadi 27 years wengi wana vipara.

Tatizo nadhani msongo wa mawazo, vyakula na PUNYETO.
 
Aisee acheni kuizingizia Punyeto kwenye mambo kama haya. Nguvu za kiume hamna mnasema Punyeto, hampati usingizi mnasema Punyeto, Vipara mnasema Punyeto, aisee this is too much.

Punyeto vingi mnaizingizia tu.
 
Suala hilo Lina sababu lukuki, Wengine ni kuiga tu kulingana na makundi rika yanayomzunguka.

Wengine kisaikolojia ujikuta wakitafuta acceptance kwa jamii aliyopo,Kama ni ya Vijana wenye mtindo kama wake au anaweza amua kuwa na kipara ili tu kutafuta kukubalika kwenye jamii kwa kuwa na style ya peke yake.

Mwisho wa siku kila mmoja ana dhamira ya kwa nini anafanya jambo fulani.

Vema kutokuwa na dhana ya kuwajaji moja kwa moja,tujipe muda wa kujichanganya na Vijana na kujifunza zaidi.
 
Unaweza kuthibitisha kuwa vijana wengi wa sasa Wana upara? Afro ilikuwa mtindo wa nywele kwa vijana ambao ulishapita. Unataka vijana waachie nywele wachane afro kama ilivyokuwa zamani? Non sense
 
Aisee acheni kuizingizia Punyeto kwenye mambo kama haya. Nguvu za kiume hamna mnasema Punyeto, hampati usingizi mnasema Punyeto, Vipara mnasema Punyeto, aisee this is too much.

Punyeto vingi mnaizingizia tu.
Ni kweli mkuu CHANZO KIKUBWA NI NYETO kunyonyoka kwa nywele asa kwa vijana % kubwa ni nyeto iyoo inapoteza protein na ukuaji wa nywele kama unabisha leta idadi kati ya vijana wa kiume na wakike ni wapi wanaongoza kwa kunyonyoka nywele?
 
Je ukiacha nywele zitarudi
 
Ni wajanja wachache sana dunia ya leo wanatembea na Vibanda kichwani..unless ni dreadlocks
 
Dah najiona na semwa na kiupara changu nusu kisahani,Ila kwa hii hoja haina uthibitisho wowote ,Kwan mzee wangu Ana kipara nusu Ila sio Sana,zungumzia biological na cio kuleta hoja zisizokuwa na uhalisia Kwan kupetea kwa protein Kuna njia nyingi ,na sio hivo vitu ulivyovitaja hapo juu.AKA Nye*to
 
Back
Top Bottom