je hili litafaa likiongezwa kwenye mtaala wa elimu tanzania?

kajiti

Member
Oct 19, 2011
59
7
kwa mtazamo wangu ninaona kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari ingeongezewa somo la ufundi (kwa vitendo). Sababu ya msingi inayofanya nifikiri juu ya hili ni;
- wale wanaoshindwa kuvuka kutoka ngazi moja kwenda nyingine wanajikuta wamesoma kukariri ila inkuwa vigumu sana kuifanyia kazi elimu waliyopata.
mnasemaje wana JF?
 
Back
Top Bottom