Je hili linawezekana kuongezwa katika katiba mpya?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hili linawezekana kuongezwa katika katiba mpya??

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by OGOPASANA, Jun 26, 2012.

 1. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Heshima kwenu wakuu, kiukweli huwa naumizwa na jinsi Africa tunavyoshindwa kusonga mbele kimaendeleo ili hali chanzo chake na suluhu yake tunafahamu kwani ni kama "factors for the rise and fall of african empires" kipindi nasoma history sekondary, yaani hakuna jipya. Swali langu ni je kuna UWEZEKANO TUKAONGEZA SHERIA YA KUNYONGA HADHARANI KWA KILA ATAKAYEHUJUMU UCHUMI WA NCHI YETU????? zaidi ya hapo ni brah brah na propaganda huku viongozi na wenye nyadhifa wakijilimbikizia mali za walipa kodi na wenye nchi.

  nawasilisha.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kunyonga ni adhabu mbaya, hawa jamaa wanaweza kuitumia vibaya.
   
 3. MC babuu

  MC babuu Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afu we jamaa unamawazo kama yangu hii sheria ni nzuri sababu haiwawajibishi wananchi wa hali ya chini itakuwa maalumu kwa mafisadi papa kama lowasa na wenzake nchi nyingi ziliitumia hapo zaman na baada ya kuendelea wakaamua kuachana nayo lakin wapo ambao wanaitumia nchi kama south korea na china.laada niongezee tu kwamba ili nchi ipate maendeleo ya kweli mara nyingi lazima kuwe na shiria ngumu na imara tena zilizo wazi na wakati mwingine udikteta unahitajika haswa kwenye nchi kama tanganyika au vita ya wenyewe kwa wenyewe baada ya hiyo heshima na adabu inakuwepo kwa viongozi na wananchi mfano mzuri na marekani walipigana civil war miaka ya 1820's kati ya kaskazin na kusin.kaskzn walipiga marufuku biashara ya utumwa kutokana na maendeleo ya viwanda wakitaka kusin wawe wateja wao na kusin wakapinga vikali na mwisho ikapelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe na kaskazi walishinda na kuilazimisha kusin kufuata wanachokisema.naunga mkono hoja yani sheria hiyo n nzuri sana kwetu.embu fikiria ingekuwepo toka awamu ya kwanza ni viongoz wangap wangesalimika na tz ingekuwaje leo hii?
   
Loading...