Je hiki ndo kizazi kipya cha kike?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
hadi sasa hivi hawa wasichana wa kileo sijawaelewa lengo gani.mimi napenda niwe na mwanamke mmoja mwaminifu.lakini asilimia kubwa ambao nimewatongoza hawataki kuwa kwenye uhusiano.wenyewe wanasema"nipo tayari kukupa chochote unachotaka lakini siyo kuwa your girlfriend.kwanini?eti ntambana!!
yaani sipati picha ya dhamila yao.je ndo usasa huo?.mia
 
figa kweli leo hii wewe ndio unataka kuwa na msichana mmoja wakati ulishatuambia wewe ni wa wengi?
au nakuchanganya mkuu, ni dalili nzuri, all the best utapata tu wa kukukubalia unavotaka
 
nahisi hao wote ni wanafunzi tena wa chuo! beware man! wanafunzi wa chuo ni pasua kichwa!
 
figa kweli leo hii wewe ndio unataka kuwa na msichana mmoja wakati ulishatuambia wewe ni wa wengi?
au nakuchanganya mkuu, ni dalili nzuri, all the best utapata tu wa kukukubalia unavotaka
hapana.hukunisoma vizuri.mimi napenda sana.sina chuki na mtu.tatizo lenu mtu akisema kupenda mawazo yote kwnye ngono.mkuu mimi sipo kihivyo unavyofikilia.ili nikutake kimapenzi kuna vigezo vyangu muhimu si kila msichana anafaa.mia
 
Mwambie huyo. Ukiwa mwongo kumbuka jana ulisema uongo gani.
hakuna uongo nilosema.nilichosema ni wanaume wawe na roho ya huruma kwa wapenzi wao.kama nimedanganya niumbue hapahapa.mkuu jaribu kukumbuka vizuri.mia
 
Unatongoza the wrong gals... alafu woote wa aina moja (for it seems ndio wanaokuvutia...)
kwanini wajibu hivyo?
ni kweli,wale wenye vigezo nivitakavyo ndo wanajibu hivyo.wewe umejuaje?
wewe una akili sana mkuu.mia.
 
kuwacha mapaja hadharani na kubenua maziwa juu na wazi

sidhani kama lengo ni kuvutia wanaume, wanashindana wao kwa wao
 
hadi sasa hivi hawa wasichana wa kileo sijawaelewa lengo gani.mimi napenda niwe na mwanamke mmoja mwaminifu.lakini asilimia kubwa ambao nimewatongoza hawataki kuwa kwenye uhusiano.wenyewe wanasema"nipo tayari kukupa chochote unachotaka lakini siyo kuwa your girlfriend.kwanini?eti ntambana!!
yaani sipati picha ya dhamila yao.je ndo usasa huo?.mia
Wasichana wa siku izi wanafanya maamuzi kwa kuongozwa na matumbo, facebook, tamthilia na tamaduni za wazungu.
 
Kuna rafiki yangu kamtongoza binti akamwambia bana mi nakaa na dadangu mlokole kwa hiyo ukitaka tuwe tunakutana mchana,basi jamaa akawa anatoroka kazini siku moja moja kukutana nae au siku zingine anawahi kutoka ili wakutane,mwisho ulikuwa saa 2 usiku.
Sasa wiki iliyopita jamaa akagundua kumbe bibie haishi na dadake anaishi na mwanamme ambaye humuaga anaenda kwa rafiki kama wana ahadi na jamaa yangu.
Jamaa kumuuliza kwanza alikataa baadae akakubali akadai eti jamaa anamtesa anataka kumwacha lakini hana jinsi,ikumbukwe sio mke ni hawara tu.Rafiki yangu akatoa hela ya miezi sita akamwambia kama kweli basi ahame kwa jamaa ndio waendelee.
Toka apewe hela binti kapotea hewani na rafiki yangu hajui kwa kumpata walikuwa wanakutana tu sehemu.mia.
 
uporoto,hiyo hela ya miezi 6 unamaanisha ulikuwa ujira wa ngono wa miezi sita ama ilikuwa kodi ya nyumba ya miezi 6. ama alikuwa kampa masurufu ya likizo? tatizo lenu siku hizi mtu anataka kuanzisha mahusiano kwa kutanguliza pesa. COMING TO AMERICA is still one of my fav movies,let pple lov u for who u ar and nt what u ar!
 
kodi ya nyumba ya miezi sita,mom hebu rudia slowly utaelewa picha nzima.
 
The only thing we fear is reality we like acting in life. Hawa dada zetu tukiwa home hawana neno tukitoka mlangoni tu huwezi kuwakamata yaani matawiya juu balaa na kuiga kwingi. Cha msingi jinsi unavyoishi ndivyo utawapata unao fanana nao unless unaigiza. maana ukienda msikitini au church utakutana basi kama si sehemu zako watakuboa tu. ukienda bills na wewe hujazoea watakuboa. Live ur own life the they will follow you.
 
Back
Top Bottom