Je, hii Tunu (Zawadi) ya Unafiki tuliyonayo Watanzania wengi haiwezi pia Kujumuishwa katika Vivutio vipatikanavyo Tanzania?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni....

"TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi"

Baada ya Simba SC kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zimebadilika ghafla na kuwa....

"Hii sasa ndiyo TP Mazembe tunayoijua Sisi na imeupiga mwingi hadi Mnyama kautafuta kwa Tochi"

Dhambi hii ya Unafiki inatuumiza sana.
 
Pamoja na "uyanga" wangu...

Nilikuwa makini mno kufuatilia mechi yenu mliyochabangwa jioni ya jana.....

Kiukweli ni kipimo tosha watani wetu hususani kwa ajili ya mechi zenu za KLABU BINGWA.....

Tuweke "unazi" pembeni....TP ni timu nzuri iliyokutana na timu imara.....SSC inahitaji muda mfupi tu kuupata muunganiko "MPYA"....

Leo mlitengeneza/kupata nafasi nyingi za KUFUNGA zaidi ya TP...je ni nani wa kusema SIMBA "bomu"?!!!!

Msalimie sana kiungo wenu "Sadio Kanoute"....amenikosha ile mbaya 👋👋

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Hata Yanga mmepigana sana mlikuwa na tatizo moja tu.

Mlidhani Simba anaingia makundi kiulaini na nyinyi mkachukulia mechi kiulaini.

Mlijiaminisha lazima mtaifunga Rivers kabla ya kucheza nao.

Imani hii ndio imewafungisha.
Nilikuwa najiuliza sana.

Mbona hamkucheza kwa hamasa kama mnapo cheza na Simba ?

Mli ichukulia poa mechi yenu na hamku fanya bidii hata kidogo.

Nyinyi Yanga ni wazuri kupita Rivers.
Kosa lenu lilikuwa kujiamini kupita kiasi.
 
Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni....

"TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi"...
Mightier a.k.a Poisonous poleni sana n kichapo kutoka kwa Wakongo.
Kinachofuata Sasa ni kichapo ch majezi yenu yenye ubora wa tambra la deki
 
Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni....

"TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi"...
Leo utaandika nyuzi 50 apa maana ni Kama vile dishi limeyumbishwa na vumbi la Kongo ueleweki unachomaanisha unaweweseka tu Kama vile umerukwa na akili
 
Pamoja na "uyanga" wangu...

Nilikuwa makini mno kufuatilia mechi yenu mliyochabangwa jioni ya jana.....

Kiukweli ni kipimo tosha watani wetu hususani kwa ajili ya mechi zenu za KLABU BINGWA.....

Tuweke "unazi" pembeni....TP ni timu nzuri iliyokutana na timu imara.....SSC inahitaji muda mfupi tu kuupata muunganiko "MPYA"....

Leo mlitengeneza/kupata nafasi nyingi za KUFUNGA zaidi ya TP...je ni nani wa kusema SIMBA "bomu"?!!!!

Msalimie sana kiungo wenu "Sadio Kanoute"....amenikosha ile mbaya 👋👋

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Yanga SC ingekuwa na Intelligent Fans kama ulivyo Wewe hivi Ndugu nina uhakika mngefika mbali sana katika Mashindano yote mnayoshiriki ila bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake.
 
Back
Top Bottom