je hii topic ilyopo habari mchanganyiko UKOLONI MAMBOLEO DOLLY ESTATE FOR WHITES ONLY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je hii topic ilyopo habari mchanganyiko UKOLONI MAMBOLEO DOLLY ESTATE FOR WHITES ONLY

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by warumu, Apr 29, 2012.

 1. w

  warumu Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona wana jf wengi wenu ni wachangiaji wazuri tu WA MADANYINGI SANA HUMU isipokuwa hiyo au mnaogopa kama mimi je hii ni kweli au ni upotoshaji jamii WA MAKUSUDI.

  Na kama ni kweli je Si HAKI KWA WAMERU Kudai ardhi yao hata kwa ncha ya upanga na kusapotiwa na WATANZANIA WENZAO

  Naomba kutosema mengi ila hiyo nayo ni changamoto kwetu wote wazalendo bila Kuwa na itikadi za kikabila,kidini,kisiasa
   
Loading...