Je, hii sio dharau kwa ambao mshahara hauwatoshi kweli?

mume wa mtu

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
653
386
IMG_20200209_200624.jpg

Wanajamii wenzangu,nimeona hili linataka kupita kimya kimya kama hakujatokea kitu,ni kama enzi zile za utoto muwe katika mazungumzo halafu ghafla kuwe na ukimya tulikuwa tunasema shetani kapita😀

Sasa siku chache zilizopita mkuu wa nchi ametoa kauli kuwa hata yeye mshahara haumtoshi tujenge nchi,nikajiuliza kumbe miaka yote watu walikuwa wanapaka rangi upepo?

Nikajiuliza tena hivi kumbukumbu zangu ndio haziko sawa?maana ni kama nakumbuka alipunguza mshahara alioukuta yeye mwenyewe
Leo hautoshi tena?huu sio utani?

Halafu kwa kiongozi ambae kula yake,vaa yake,lala yake,amka yake yote haya yana bajeti yake tofauti na mshahara wake ambao haukatwi kodi ni sawa kujilinganisha na mfanyakazi ambae analipwa mshahara ambao humo humo akatwe kodi,akatwe mkopo,nssf,chama cha wafanyakazi,bima ya afya,atoe pesa ya chakula,malazi,mavazi,nauli za kazini,nauli za shule,bili za maji,umeme nk?je?huu sio utani?

Kama makusanyo ya T.R.A yanavunja rekodi,uchumi unakuwa kwa kasi,miradi mikubwa inafanyika kwa pesa zetu wenyewe shida ipo wapi?
Ni wakati gani na mazingira gani utafika nchi itasema sasa ni ni muafaka kuongeza mshahara?maana sidhani kama itatokea siku nchi itapumzika kujenga miradi inayojengwa sasa ili ipatikane nafasi ya kuongeza mishahara.mimi nadhani haya yote ya miradi,makusanyo kuvunja rekodi,uchumi kukua kwa kasi yanatakiwa yaende sambamba na kuongeza mishahara.
 
View attachment 1352447

Wanajamii wenzangu,nimeona hili linataka kupita kimya kimya kama hakujatokea kitu,ni kama enzi zile za utoto muwe katika mazungumzo halafu ghafla kuwe na ukimya tulikuwa tunasema shetani kapita

Sasa siku chache zilizopita mkuu wa nchi ametoa kauli kuwa hata yeye mshahara haumtoshi tujenge nchi,nikajiuliza kumbe miaka yote watu walikuwa wanapaka rangi upepo?

Nikajiuliza tena hivi kumbukumbu zangu ndio haziko sawa?maana ni kama nakumbuka alipunguza mshahara alioukuta yeye mwenyewe
Leo hautoshi tena?huu sio utani?

Halafu kwa kiongozi ambae kula yake,vaa yake,lala yake,amka yake yote haya yana bajeti yake tofauti na mshahara wake ambao haukatwi kodi ni sawa kujilinganisha na mfanyakazi ambae analipwa mshahara ambao humo humo akatwe kodi,akatwe mkopo,nssf,chama cha wafanyakazi,bima ya afya,atoe pesa ya chakula,malazi,mavazi,nauli za kazini,nauli za shule,bili za maji,umeme nk?je?huu sio utani?

Kama makusanyo ya T.R.A yanavunja rekodi,uchumi unakuwa kwa kasi,miradi mikubwa inafanyika kwa pesa zetu wenyewe shida ipo wapi?
Ni wakati gani na mazingira gani utafika nchi itasema sasa ni ni muafaka kuongeza mshahara?maana sidhani kama itatokea siku nchi itapumzika kujenga miradi inayojengwa sasa ili ipatikane nafasi ya kuongeza mishahara.mimi nadhani haya yote ya miradi,makusanyo kuvunja rekodi,uchumi kukua kwa kasi yanatakiwa yaende sambamba na kuongeza mishahara.
Bongoland nyoka anaweza kuishi kwa kula mkia wake!
Inaitwa 'vodoo economy'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom