Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,601
Mmiliki mpya wa Magogoni majuzi alitembelea Mwaisela Muhimbili, ni vigumu kujua kama kilichompeleka pale ni mapenzi na wananchi wake(wagonjwa) ama ni yale wenzie wa upande ule wanayoyaita michezo ya kuigiza.
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa huyu jamaa na hii inathibitika katika baadhi ya comments zangu na threads zangu zinazojikita kumuunga mkono kwa baadhi ya masuala muhimu anayoyachukulia hatua. Lakini nina wasiwasi sana na matukio mengine anayoyafanya kwa shamrashamra nyingi na camera.
Mwezi uliopita watoto zaidi ya 30 walipoteza maisha yao kule Kilimanjaro, mkuu hakuonekana, tetemeko la Bukoba mkuu hakuonekana, wengine tunajiuliza hivi ni Muhimbili tu ndo kwenye matatizo ambako anatakiwa kutembelea?
Ninaweza kuwa nakosea lakini ni muhimu kuliangalia kwa jicho la pili......