Je hii ni sawa kwa GOLDEN BOOT WINNER?

Unapotosha. Hicho cha Samatta sio Golden boot, Bali kinaitwa "Black Ebony Shoe" ni tuzo anayopewa mchezaji aliyefanya vizuri mwenye asili ya Africa (Bila kujali rangi) anayechezea katika Ligi ya "Belgian Jupiler League Pro".....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!
Closed...
 
Bila kujali rangi..."black ebony shoe" 😀
 
Black badala ya Bara la Africa (Inawakilisha watu wenye asili ya bara la Africa)...hata Waarabu wa Morocco, Tunisia, Algeria Na Egypt Waliowahi kucheza Hapo Belgium na wakafanya vyema basi walipewa Tuzo Hiihii. Hilo la "Black ebony shoe" Lisikuumize kichwa mkuu.
 
Kuna ubaguzi happy hizo sababu zingine hazina mashiko.
 
Unapotosha. Hicho cha Samatta sio Golden boot, Bali kinaitwa "Black Ebony Shoe" ni tuzo anayopewa mchezaji aliyefanya vizuri mwenye asili ya Africa (Bila kujali rangi) anayechezea katika Ligi ya "Belgian Jupiler League Pro".....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!
With All Due Respect, Mleta Mada Ni Mbumbumbu.
 
Alicho pewa samata Sio kwamba Ndio golden boot Kwa kuwa mfungaji bora hicho ni kwaajiri ya tuzo aliyo pewa ya ebony boot Award wanepewa wachezaji wenye asili ya Africa wanao kipiga ubeligiji kiatu cha dhahabu Kwa mfungaji bora mpaka ligi iishe na bado game tatu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom