Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni wafungaji bora ktk ligi zao japokuwa Aubeyang wamefunga watatu lkn wote wamepewa zawadi.Kwan samata kachukua tuzo gani? Na huyu Abe kachukua tuzo gani?,tuanzie hapo kwanza
Closed...Unapotosha. Hicho cha Samatta sio Golden boot, Bali kinaitwa "Black Ebony Shoe" ni tuzo anayopewa mchezaji aliyefanya vizuri mwenye asili ya Africa (Bila kujali rangi) anayechezea katika Ligi ya "Belgian Jupiler League Pro".....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!
alipigwa 3-2Matokeo ya Genk Jana yalikuwaje?
Genk wakipoteza next game ndo Club Bruge wanalingana nao, so wasipokaza buti watachemka japo walianza vzr. Bruge hata possession waliwazidi. 67%alipigwa 3-2
GENK WAWE MAKINI AISEEGenk wakipoteza next game ndo Club Bruge wanalingana nao, so wasipokaza buti watachemka japo walianza vzr. Bruge hata possession waliwazidi. 67%
Bila kujali rangi..."black ebony shoe" 😀Unapotosha. Hicho cha Samatta sio Golden boot, Bali kinaitwa "Black Ebony Shoe" ni tuzo anayopewa mchezaji aliyefanya vizuri mwenye asili ya Africa (Bila kujali rangi) anayechezea katika Ligi ya "Belgian Jupiler League Pro".....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!
Black badala ya Bara la Africa (Inawakilisha watu wenye asili ya bara la Africa)...hata Waarabu wa Morocco, Tunisia, Algeria Na Egypt Waliowahi kucheza Hapo Belgium na wakafanya vyema basi walipewa Tuzo Hiihii. Hilo la "Black ebony shoe" Lisikuumize kichwa mkuu.Bila kujali rangi..."black ebony shoe" 😀
Kuna ubaguzi happy hizo sababu zingine hazina mashiko.Black badala ya Bara la Africa (Inawakilisha watu wenye asili ya bara la Africa)...hata Waarabu wa Morocco, Tunisia, Algeria Na Egypt Waliowahi kucheza Hapo Belgium na wakafanya vyema basi walipewa Tuzo Hiihii. Hilo la "Black ebony shoe" Lisikuumize kichwa mkuu.
Anayejishuku kubaguliwa naye ni mbaguzi.Kuna ubaguzi happy hizo sababu zingine hazina mashiko.
Huu ni mtazamo wako.Anayejishuku kubaguliwa naye ni mbaguzi.
Hata sisi weusi ni wabaguzi refer BETKuna ubaguzi happy hizo sababu zingine hazina mashiko.
Safi sana nice reference!!Hata sisi weusi ni wabaguzi refer BET
With All Due Respect, Mleta Mada Ni Mbumbumbu.Unapotosha. Hicho cha Samatta sio Golden boot, Bali kinaitwa "Black Ebony Shoe" ni tuzo anayopewa mchezaji aliyefanya vizuri mwenye asili ya Africa (Bila kujali rangi) anayechezea katika Ligi ya "Belgian Jupiler League Pro".....Kuhusu Kiatu cha dhahabu bado hakijatolewa kwani Ligi yao bado haijaisha na huyo Samatta ana nafasi kubwa kukichukuwa!!
Naam. Jibu Murua Kabisa.Anayejishuku kubaguliwa naye ni mbaguzi.
Yap, naona wanachezea shilingi kwenye tundu la choo ka LiverpoolGENK WAWE MAKINI AISEE
achen uzwazwa ligi ya ubelgiji haijaishaLigi ya Samatta ni ndondo tu wala sio miongoni mwa candidates wa ‘Golden Boot’.
yasije yakawatokea kama ya liverpool...point moja au mbili zimewanyima ubingwaYap, naona wanachezea shilingi kwenye tundu la choo ka Liverpool
Hiki cha babu Kagere.Na hii ya Lukaku Vp?View attachment 1096169