JE ? Hii ni salama kwa watumiaji??

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,233
1,191
Nimepita maeneo kimara terminal ,kwa bahati pembeni nilivutiwa na macheza ambayo yamepangwa vizuri ,ila baada ya kusogea kwa nyuma kidogo nikakuta ,shughuli hyo hapo kwenye picha inaendelea, dada ameweka sabuni ya unga kwenye beseni yupo na brush anasugua machenza hayo na machungwa.

Swali kwa wale wataalam wa Nutrition na TFDA hii kitu nisalama kweli kuosha matunda nasabuni ya unga na kuyapanga watu wayatumie ?? Na hata kama yakisuuzwa vizuri ni sawa kabisa ? Na kama unavyoona kwenye ndoo nyeupe ndio anasuuza ila bado kuna povu .
Naomba hoja zenu.
IMG_20180502_095507.jpg
 
ha ha huo ni ujanja wa mjini hilo chenza au chungwa la kijani likilowekwa kidogo kwenye sabuni ya unga linabadilika rangi na kua la njano hivyo linawavutia wateja kua tunda limeiva vizuri!!
 
ha ha huo ni ujanja wa mjini hilo chenza au chungwa la kijani likilowekwa kidogo kwenye sabuni ya unga linabadilika rangi na kua la njano hivyo linawavutia wateja kua tunda limeiva vizuri!!
Seriously??? Acha utani, hiyo ndio maana??? Lakini unajua sabuni ya unga uwa inachoma hata mikono
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom