Je hii ni sahihi''??

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,682
22,685
Kutafuta Mume Au Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook, Twitter, N.k

''TUJARIBU KUJENGA HOJA TUNAPOSEMA NI SAHIHI AU HAPANA''
 
Shida iko wapi? Wewe unatumia mitandao bila kujua umuhimu wake? Hujui mitandao ni mass media?
 
HAPO NK...MBONA JF(mmu) HUJATAJA?HUUFANYII FAIR MTANDAO MARIDHAWA,SO FAR MAPENZI YA MITANDAO YA KIJAMII YANAKUA NJIA MUAFAKA KWA WALE AMBAO THEY ARE SEDUCED BY APPEARANCE(IMPRESSION MATTERS-MEETING) ITS JUST THE SAME AS WATU WALIOKUTANA KWENYE DALADALA(THEY MET) WAKAANZA KU DATE
 
mkuu niliposema mitandao ya kijamii tambua Jf nayo pia inahusika!!

Uliposema kuwasiliana kupitia mitandao ni sawa na kuonana tu,.

Je kuonana tu inatosha kuanzisha ndoa?
 
huwezi kuanzisha ndoa biala kuonana,thats our fantasy ndo maana ahata wengine wanapiga gym na kununua michina ku improve muonekano(impression)
 
Shida iko wapi? Wewe unatumia mitandao bila kujua umuhimu wake? Hujui mitandao ni mass media?

yapo matumizi mengi ya mtandao lakini inategemea unautumia kwa njia gani hasa,..

''Je ni sahihi kutafuta mwenza kupitia mitandao hii ya kijamii''
 
Kutafuta Mume Au Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook, Twitter, N.k

''TUJARIBU KUJENGA HOJA TUNAPOSEMA NI SAHIHI AU HAPANA''
sidhan kama kuna tatizo ikiwa unamaanisha unachokitaka, ndoa ni upendo, kuvumiliana na kuheshimiana na yote yanayofanana na hayo kama utayatimiza kwa yule utakayempata haijalishi umempata kupitia mitandaoni mtaishi si kila kitu kinachotokana na mitandao ni kibaya
 
Kutafuta Mume Au Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook, Twitter, N.k ''TUJARIBU KUJENGA HOJA TUNAPOSEMA NI SAHIHI AU HAPANA''
Ni poa tu ila mambo yanakuwa hivi...... BINTI: Baba huyu ni mpenzi wangu anaitwa Alex nilijuana nae katika website ya kutafuta wachumba akanitongoza kupitia "FACEBOOK" nikaonana nae kwa mara ya kwanza katika "SKYPE" nikazidi kuzoeana nae katika "WATSAPP" hata ile simu yangu ya blackberry ameninunulia yeye ili tuwe tuna chart kupitia "BBM" kwakweli ananipenda sana amenidhihirishia hilo kupitia "ISTAGRAM" BABA: Okey binti yangu bila shaka mtafunga ndoa katika "TWITTERr" watoto mtawatafuta kupitia "GOOGLE" na ndoa yenu itafanyika "YOU TUBE" ili kila mtu aone upumbavu wenu.........
 
Kutafuta Mume Au Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook, Twitter, N.k ''TUJARIBU KUJENGA HOJA TUNAPOSEMA NI SAHIHI AU HAPANA''
Ni poa tu ila mambo yanakuwa hivi...... BINTI: Baba huyu ni mpenzi wangu anaitwa Alex nilijuana nae katika website ya kutafuta wachumba akanitongoza kupitia "FACEBOOK" nikaonana nae kwa mara ya kwanza katika "SKYPE" nikazidi kuzoeana nae katika "WATSAPP" hata ile simu yangu ya blackberry ameninunulia yeye ili tuwe tuna chart kupitia "BBM" kwakweli ananipenda sana amenidhihirishia hilo kupitia "ISTAGRAM" BABA: Okey binti yangu bila shaka mtafunga ndoa katika "TWITTERr" watoto mtawatafuta kupitia "GOOGLE" na ndoa yenu itafanyika "YOU TUBE" ili kila mtu aone upumbavu wenu.........
 
Kutafuta Mume Au Mke Kupitia Mitandao Ya Kijamii Kama Facebook, Twitter, N.k

''TUJARIBU KUJENGA HOJA TUNAPOSEMA NI SAHIHI AU HAPANA''

siku hizi maisha yanatushinda kwa kuwa tuna generalize vitu sana,kama hao unaoishi nao huko mtaani au unaokutana nao makazini au sehemu mbali mbali umewaona hawakufai sembuse yule ambaye humjui kabisa?kisa eti unchat nae fb au jf?unadhani ndo atakuwa malaika wa kujaza yale unayoyawaza kichwani?
 
'misukule' pekee ndio watafutao wake au waume kupitia mitandao...
 
siku hizi maisha yanatushinda kwa kuwa tuna generalize vitu sana,kama hao unaoishi nao huko mtaani au unaokutana nao makazini au sehemu mbali mbali umewaona hawakufai sembuse yule ambaye humjui kabisa?kisa eti unchat nae fb au jf?unadhani ndo atakuwa malaika wa kujaza yale unayoyawaza kichwani?

Kumbe mimi nawewe hatuwezi kua pamoja eeh. Ngoja niachane na hiyo ndoto....
 
Back
Top Bottom