Je hii ni sababu ya viajana wengi kutooa au kuolewa au ndoa kuyumba?

kuoa au kuolewa ni uamuzi wa mtu hasa mtu akitambua umri wa ndoa umefika na kwa nini anaoa au kuolewa tendo la ndo ni sehemu inayokamilisha zoezi zima la ndoa. ndo maana waliofikia umri wa kuoa au kuolema na hawajafanya hivyo kuna kitu ambacho huwa wanakikosa ndo maana wengine wanang'Ang'Ania kuoa kuolewa kwa nguvu
 
ndoa si beta version, ni maisha. bila ndoa hujakamilika. ndoa ni Identity. amini usiamini ukitambulika kupitia mtu mwingine inafurahisha mno. tendo la ndo mbona hiyo nyongeza tu. hivyo vitu vipo kibao tu tena kwa bei ya kutupa so sidhani tendo la ndoa ndo has linamfanya mtu kuoa
 
Ndoa ni Taasisis na si tendo la ndoa, Ni zaida sana ya tendo la ndoa

kuoa / kuolewa si kwa sababu ya tendo la ndoa,

Mungu aturehemu sana
 
Walisema if you can get free milk why keep a cow? Wasichana wanapowapatia wavulana kabla ya kuolewa huo ndiyo mwisho wa mipango ya kuolewa. Pole
 
Anayesema ndoa sio tendo la ndoa bora abaki kwao.


Afu mwanamke akimnyima mwanaume tendo la ndoa, basi huyo hafai kuwa mke :violin:
 
Je urahisi wa kufanya tendo la ndoa ni sababu inayowafanya vijana wengi kuendelea kuishi maisha ya 'kiseja' au ndoa nyingi kuyumba.

Naam! Ndowa inataka jasho sasa iwapo cha bure kipo kwanini ujitowe jasho?
 
Back
Top Bottom