Je hii ni sababu ya viajana wengi kutooa au kuolewa au ndoa kuyumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii ni sababu ya viajana wengi kutooa au kuolewa au ndoa kuyumba?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbori, Mar 23, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,532
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Je urahisi wa kufanya tendo la ndoa ni sababu inayowafanya vijana wengi kuendelea kuishi maisha ya 'kiseja' au ndoa nyingi kuyumba.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Hivi watu wanaoana ili wafanyane tu? Hee! Mbona wengine tutashindwa kama ni hivyo
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ushindwe marangapi tena, au ile shem ilikuwa yautani??
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah nadhani ni sababu pia..kuna mdau mmoja alisema "if you can get milk anytime you want, why keeping a cow
   
 5. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,532
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Nimeona 'uchumba' ukiyumba au kuvunjika pale mmoja wao akitaka ngono iwe baada ya ndoa. Upande huo unajigamba kwa kusema 'anaringia' nini......
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  na yote hiyo inatokana na utovu wa nidhamu na mmomonyoko wa maadili
   
 7. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,532
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Angel - katika stori za vijiweni, inaonekana vijana wengi hapa DSM ni wateja wazuri wa 'madada poa'
   
 8. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "Urahisi wa kufanya",..
  Unamaanisha nini?
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,940
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  habahah yeah bana urahiai wa kupatikana kwa k unafanya vijana tusijiingize kwenye ndoa
   
 10. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,532
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  WaliNazi - namaanisha, urahisi wa kufanya tendo la ndoa visivyo halali; kwa mfano ukahaba, uasherati, uzinzi n.k kunafanya vijana kukataa kuoa au kulewa
   
 11. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Binafsi nitavumilia kwa sharti kuwa mke mtarajiwa awe bikra kwa maana hajawahi kukutana na jinsia ya kiume maishani mwake cause kama sio bikra kwa nini kujamiiana iwe baada ya kufunga ndoa!
   
 12. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "Urahisi wa kufanya",..
  Unamaanisha nini?
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ndo mana hawaoi na wakioa lazma wawe na spea tair
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  ile ya kiukweli ukweli ila mme hataki kila siku. Lol
   
 15. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,077
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 0
  wanaogopa commitment tu!
   
 16. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Heeeh kwaheri shemeji...
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,289
  Likes Received: 22,952
  Trophy Points: 280
  Mwajuma acha uongo wako wewe. Unapenda ile kitu kupitiliza...
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  hahaha! Haya shemeji. Kamalizia assignments zako.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  hahaha! Unanchokoza eeh?
   
 20. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,532
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo: Vijana wanasingizia ugumu wa maisha, wakimaanisha urahisi wa ngono, ndio sababu hawoi au hawaolewi, na ikitokea, nyumba inayumbishwa sana...
   
Loading...