Je, hii ni Sababu KUBWA ya waziri Maige kuwa FISADI?!

Hii si email halisi, mbona umeunganisha maelezo ya maombi na email ya maige kwa kuscan karatasi juu ya nyingine? Kwa kuligundua hilo angalia hizo alama za muunganiko wa karatasi. be serious sometimes.

haya ni majungu wakuu JF

Ungepiga hatua moja mbele katika kufikiri basi usingesema uliyosema hapo juu. Hiyo mistari unayoiona ni baada ya kukata addressees na vitu vingine viwili ili kutokujua kuwa ni nani kati ya addressees ame-leak-isha hii e-mail. Naomba uchukue typed paper halafu kata mistari (ondoa sehemu hiyo ya karatasi na kuacha tundu/ uwazi) baadhi na kuacha uwazi halafu scan halafu utuletee hiyo paper kama hakutakuwa na hiyo mistari!!
 
Hakuna Chama Chenye sera ya wizi au ufisadi. Wanaoiba ni Watu binafsi, hivyo kusema tubadili Chama tawala siyo mwarobaini. CDM mnayoishabikia ndiyo imejaa mafisadi. Tena ufisadi wao uko nje nje. Tofauti Yao ni kuwa Havana madaraka. Ikitokoea Bahati mbaya wakapewa madaraka nchi yetu itakoma. Watu wenyewe kina Mbowe acha tu.
 
Mkuu hii ni hatari. Kama mtu anatumia pesa zote hizo hadi anakausha liquid asset zake unadhani akipata pa kutokea ataacha kutoka na ku recoup vile alivyovipoteza wakati wa kampeni.

Kumbe wizi unaanzia kwenye kampeni na wakishapata wanataka warudishe pesa zao. Ndio maana wengine wakikosa wanakuwa vichaa. Hebu fikiria huyu Maige angekosa huo Ubunge nini kingemtokea; kijana wa watu angekufa kwa kihoro.


Lakini mkuu mbona umeficha addressees?
Mwalimu alisema kuhusu hayo matumizi ya pesa...serikali imekuwa ni sehemu ya biashara haramu...kanunua nyumba ya billioni huyu jamaa!! Twiga wote kwisheniiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom