Je hii ni ndoto tu au kitu gani ?

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,956
Habari wakuu

Kuna hili jambo nimekua nikijiuliza, kwa muda mrefu ninapokua nimelala, huwa naamka kwa kuhisi kama nimeanguka kutoka juu kwenye ceiling.

Kuna muda najaribu kujiaminisha ni ndoto ila hainipi, huwa najihisi kabisa kama naanguka kutoka juu kwenye ceiling na nikitua kitandani nahisi kabisa nimetua kitandani na kuamka hapo hapo.

Kuna siku nikiwa nimelala nikaanza kujihisi kama naelea pale juu ya kitanda, Ile kuhamaki nikaanguka tena kitandani na kuamka.

Wakuu nisaidieni, je hii ni ndoto au ??

Byuti Byuti!
 
Umejaribu kulala chini au kwenye kochi kuona tofauti ... au siku moja nenda kalale Lodge moja nzuri
 
808c81fb_z.jpg
Tatizo lako unalala bila kipita hapa.
 
Kuna mwenzio anakula kilo 10 wali na mbuzi mmoja, sasa wewe unalala ukiwa umekula kiyepe upo mwepesi mwepesi lazima uanguke tu😁
 
Kuna muda najaribu kujiaminisha ni ndoto ila hainipi, huwa najihisi kabisa kama naanguka kutoka juu kwenye ceiling na nikitua kitandani nahisi kabisa nimetua kitandani na kuamka hapo hapo.

Kuna siku nikiwa nimelala nikaanza kujihisi kama naelea pale juu ya kitanda, Ile kuhamaki nikaanguka tena kitandani na kuamka.
Sio ndoto mkuu, ni uhalisia binadamu wote tupo hivyo ila ni wachache wanafanikiwa kulitambua hilo. Kuna watu wanatamani wapate hiyo experience lakini inashindikana.

Muda wa usiku astral body inajitenga na physical body na ufahamu wako unaondoka pamoja na astral body kwenda kuzurura duniani. Huwo ni moja ya uwezo wenye nguvu tulionayo binadamu, tumia vizuri na hauta jutia.

Ingia google fanya simple research ya kitu kinachoitwa astral projection utapata majibu.
 
Kuna watu huwa hawaamini mada kama hizi zikiletwa jukwaani, ila watu kama nyie ndio living proof ya uwepo wa hizo supernatural abilities.

Kama utakuwa tayari kuna kitabu naweza kukutumia ili uupalilie huo wezo...but there are some conditions, mojawapo ni kuwa we'll have to work together kwa namna moja au nyingine.
 
Sio ndoto mkuu, ni uhalisia binadamu wote tupo hivyo ila ni wachache wanafanikiwa kulitambua hilo. Kuna watu wanatamani wapate hiyo experience lakini inashindikana.

Muda wa usiku astral body inajitenga na physical body na ufahamu wako unaondoka pamoja na astral body kwenda kuzurura duniani. Huwo ni moja ya uwezo wenye nguvu tulionayo binadamu, tumia vizuri na hauta jutia.

Ingia google fanya simple research ya kitu kinachoitwa astral projection utapata majibu.
Kuna kitu umenikumbusha, kama hautajali unitumie na mimi hio PDF
 
Relax babu ubongo wako uujaze zile vitu unapenda ila kama unaujaza madubwana ya ajabu lazima usiku Review zihusike
Hakuna kitu cha ajabu ninachojaza kwenye ubongo wangu, huwa inatokea tu ..
 
Sio ndoto mkuu, ni uhalisia binadamu wote tupo hivyo ila ni wachache wanafanikiwa kulitambua hilo. Kuna watu wanatamani wapate hiyo experience lakini inashindikana.

Muda wa usiku astral body inajitenga na physical body na ufahamu wako unaondoka pamoja na astral body kwenda kuzurura duniani. Huwo ni moja ya uwezo wenye nguvu tulionayo binadamu, tumia vizuri na hauta jutia.

Ingia google fanya simple research ya kitu kinachoitwa astral projection utapata majibu.
Kidogo ina-make sense, barikiwa sana mkuu ..
 
Mngetueleza tu wajuvi wa mambo. Wengine hua tunaelea angani kabisa, tunahisi kitanda hakipo. Siku zingine tunahis tupo outerspace tunazulula. Tunakua hatuelewi tumefikaje,
 
Mimi bao la usingizini tu ndo sijawahigi lielewa. Huwa ni tamu balaa. Maana ni complete making of the brain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom