je hii ni ajira au laana?

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
zamani mzazi alipokuwa akimlaani mwanae alikuwa anasema ataokota makopo(chupa za maji) lkn leo hii kazi hiyo imekuwa sio laana tena bali ni ajira, je hawa nao wamelaaniwa na rais? watz hali zetu ni mbaya maisha ya laana yamekuwa ni maisha ya kawaida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom