Je Hii ndio ile Filamu ya Mwigulu ya Igunga Tuliyokuwa tunaisubiria?

Tanzania haiko tena kwenye siasa na uchumi wa enzi za Horance Kolimba. Kama kwako siasa za cherry picking ndiyo siasa mbadala, basi unauharali wa kufikiria hivyo.

CCM haitatoka madarakani kwa empty wishes kwa sababu CCM iko madarakani kwa sababu ya effectuate and fulfilment.
CCM haitatoka madarakani?!!! Hahahaa... I know and you know you are joking. Anza tu kuandaa "nondo" za kuichachafya serikali ijayo, ambapo CCM mkijipanga vizuri mtakuwa chama kikuu cha upinzani...
 
CCM haitatoka madarakani?!!! Hahahaa... I know and you know you are joking. Anza tu kuandaa "nondo" za kuichachafya serikali ijayo, ambapo CCM mkijipanga vizuri mtakuwa chama kikuu cha upinzani...
Sijasema CCM haitoki madarakani. Nilichosema CCM hawezi kutoka madarakani kwa empty wishes kama hizo ulizozisema.

Wananchi walio wengi ndiyo wenye uwezo na mamlaka ya kuitoa CCM madarakani.

CCM ilipenda kuondolewa madarakani tokea mwaka 1995 baada ya kuruhusu na kuridhia multiparty election. In your information, it's 17+ years now.
 
Magaidi lazima muanikwe,,inawawasha nini kama hamkummwagia tesha tindikali mnachafuliwa mahakama ziko wazi
 
Katika vyote vinavyoniuma ni Dada yetu kutoka CHADEMA -JULIANA aliyehamia CCM kuanza kuliwa MAURODA na Mwigulu Mchemba, Jamaa hana simile kwenye mambo ya mapenzi, na hasa kwenye wake na wachumba wa watu, muda si mrefu kila kitu kitakuwa hazarani.
 
Huu ni udhalilishaji uliopitiliza. Ila bado sijapata mantiki ya kumtumia huyu ndugu; je ni kukirejeshea umaarufu chama ccm au ni kwa ajili ya kupata sympathisers?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom