Je Hii ndio ile Filamu ya Mwigulu ya Igunga Tuliyokuwa tunaisubiria?

Yani huwa nikiwaza mbinu wanazotumia kina Mwigulu na Nape kuendesha propaganda, natamani CCM itoke tu madarakani walau ikapate nafasi ya kujipanga, maana hawa jamaa wanaiua...

kwa hiyo unapenda mbinu za lwakatare na sa8 za kulisha watu sumu?
 
huyu jamaa ni Tesha wa wapi huyu? .... sijawahi ona ukoo wa Tesha unaojidhalilisha hivi,

Wewe Tesha wa mwigulu...!!! stop this nonsense and carry on with your normal life, knowingly you are in a wrong and stupid track
 
Mwigulu ni jembe..hakuna kulala mpaka chadema isambaratike
yafaa pia tuonyeshe wananchi wagonjwa wakiwa ndani ya wodi za hospital za serikali,wanafunzi wakiwa wanasoma chini ya miti shule za vijijini
 
safi sana mwigulu. wanakuja kulilia huku jf, nani aliwaambia mumwagie tindi kali, acha wanachi wajue ubaya wa cdm. mwigulu amekaa arusha hii ni siku ya nne, mmeshaanza kulialia huku, mwigulu wafungue macho wanaarusha,
 
Nyingine

View attachment 96805

Labda Swali la Kujiuliza "UTU" Is this Guy Comfortable?
Ni umasikini tu wa huyu kijana mbona Mwigulu hatembei na kina Kibanda, Ulimboka na hata Mwakyembe.

Mwigulu kapoteza kabisa utu amekuwa kama mnyama asiye na huruma, anaweza kutumia kitu chochote hata maiti ili apate anachokitaka.
 
Tatizo la siasa unaumizwa bila hatia yoyote. We angalia mfano mwangosi kwanini CDM wasifungue kesi ikiwa ushaidi wanasema wanao kuwa polisi ndo walifanya vile? Ukitazama wanasheria walioko CDM unabaki unashangaa tuu. Vilevile kwa mwigulu kwanini asiende mahakamani kushtaki hao waliomfanyia ukatiri jamaa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kesi imefunguliwa na jamhuri. Unataka CHADEMA wamfungulie nani?
 
kwa hiyo unapenda mbinu za lwakatare na sa8 za kulisha watu sumu?
Mimi ni mwanaCCM kama wewe au zaidi yako. Nimelelewa na CCM, nimesomeshwa ndani na nje ya Tz na CCM, nimeajiriwa na CCM na nalipwa mamilioni kila mwezi na serikali ya CCM. Lakini baada ya CCM kutwaliwa na mafisadi nataka itoke madarakani, ili yule asiyekuwa mmoja wetu tumjue, aondoke, tuijenge upya CCM yetu, na inshaalah siku moja irudi madarakani ikiwa kweli ndiyo ile CCM tuliyokuwa nayo hadi katikati ya miaka ya tisini...
 
huyu jamaa ni Tesha wa wapi huyu? .... sijawahi ona ukoo wa Tesha unaojidhalilisha hivi,

Wewe Tesha wa mwigulu...!!! stop this nonsense and carry on with your normal life, knowingly you are in a wrong and stupid track

unataka aende chadema kwa kuwa ni mchaga?
 
Mimi ni mwanaCCM kama wewe au zaidi yako. Nimelelewa na CCM, nimesomeshwa ndani na nje ya Tz na CCM, nimeajiriwa na CCM na nalipwa mamilioni kila mwezi na serikali ya CCM. Lakini baada ya CCM kutwaliwa na mafisadi nataka itoke madarakani, ili yule asiyekuwa mmoja wetu tumjue, aondoke, tuijenge upya CCM yetu, na inshaalah siku moja irudi madarakani ikiwa kweli ndiyo ile CCM tuliyokuwa nayo hadi katikati ya miaka ya tisini...

huna lolote wewe, njaa inakusumbua...utaondoka ww utaiacha ccm ikiongoza nchi hii daima
 
cdm3.jpeg cdm 1.jpeg cdm 2.jpeg cdm 4.jpeg cdm 6.jpeg
Ona wao wanavyofanya,wamezoea kufanya hivi kwa hiyo wanafikiria kila mtu anaweza kufanya hivyo,pole Migulu Nchimba!
M4C FOREVER!
 
Huyu jamaa hana akili kabisa siasa gani hizi na huyo kijana inaonekana ananjaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom