Je hii mimba ni yangu ama si yangu, wajuzi nisaidieni.!!

Hii mimba ya mchongo...
Imenikumbusha kipindi flani nilikuwa na mchepuko mmoja balaa sana. Anaishi Arusha kipindi hiko mimi niko Dar.

Mchepuko unaniambia una mimba yangu tena ya miezi 2. Ebwanae kwa swaga za ule mcheepuko nilipaniki kidogo. Ni mdada mrembo sana, nikajua hapo nimeshikwaa... Na ukawa unaleta swga za kutaka kulitibua kwa wife!!

Bang bang nikaona isiwe tabu nikamshawishi aichomoe, kagoma... daah ilikuwa tabu hii michepuko ya nje ya eneo unaloishi ni balaa tupu!!

Kwenye akili yangu nilikuwa nawaza ni lazima aichomoe kwa gharama yoyote hata kwa kumteka iwe yangu au isiwe yangu, vuup nikaibuka siku na saa asiyoijua nikamwita sehemu alivyokuja akaanza swaga za ooh nilikuwa nakutania tu sina mimba wala nini, kumbe wewe mwoga eeh!

Ah wapi sikumwamini nikampeleka mwenyewe mahali nilipopaamini tukapima nikarizika kitu ni negative. Amani yangu ikarejea... Tokea ile siku mimi kwenda kavu na Mchepuko ni mwiko kabisa, labda niwe na uhakika mayb amemaliza mzunguko jana yake kwa kuona mimi mwenyewe.

Mambo ya nina mimba yako sitaki kusikia kabisa.
 
Kubali halafu kwenye malezi fanya kama hueleweki hivi yaani kama haupo na pia kama upo hapo utajua tu ukweli koz lazima mwenye mzigo atatafutwa tu, Koz ww kama sio mwenye mzigo inamaana umechaguliwa kwa sababu unauwezo wa kulea sasa kama hueleweki kwenye malezi tayari sifa hauna
 
Mambo vipi wakuu..
Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde.

Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo hizo habari za kua anahisi uchovu na kulala lala na pia kuna dalili kazihisi so huenda ana mimba.

Keshokutwa yake yaani jumanne ya leo tareh 28/12/2021 anasema kapima na kakuta ana mimba kweli.

Nami nikaona si vibaya nikakijua zaidi kipimo alichotumia na nikaperuzi jf kidogo nikakutana na majibu kinzani kuhusu uhalali wa kipimo hicho kutumika ndani ya siku chini ya wiki na majibu yaliyotoka.

Wakuu naomba kuuliza, je ni muda gani mwanamke anaanza kuhisi dalili za kua ana mimba?? Na ni kweli ni siku 3 baada ya sex ama??

Na je hicho kipimo huwa kinatoa majibu sahihi hata kwa mimba za siku 6??

Na njia gani nitumie kujua kama ana mimba ili kujiridhidha na je kuna uwezekano wa kujua umri wa mimba??
Nawasilisha.
Mbona hii story kama yangu sema huyu mchepuko wangu mm nilipita naye tar 21...ndo akaniletew habar kama hizi zako
 
Ushakula za uso ww...cha muhim baada ya mida kapime ujauzito uo ujue una muda gan n thn utalinganisha na sku mliyokutanisha makojoleo kisha utapata majibu.Ukin'gan'ganiwa sana pimeni damu au subiri mtt azaliwe mkafanye dna.
 
Mambo vipi wakuu..
Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde.

Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo hizo habari za kua anahisi uchovu na kulala lala na pia kuna dalili kazihisi so huenda ana mimba.

Keshokutwa yake yaani jumanne ya leo tareh 28/12/2021 anasema kapima na kakuta ana mimba kweli.

Nami nikaona si vibaya nikakijua zaidi kipimo alichotumia na nikaperuzi jf kidogo nikakutana na majibu kinzani kuhusu uhalali wa kipimo hicho kutumika ndani ya siku chini ya wiki na majibu yaliyotoka.

Wakuu naomba kuuliza, je ni muda gani mwanamke anaanza kuhisi dalili za kua ana mimba?? Na ni kweli ni siku 3 baada ya sex ama??

Na je hicho kipimo huwa kinatoa majibu sahihi hata kwa mimba za siku 6??

Na njia gani nitumie kujua kama ana mimba ili kujiridhidha na je kuna uwezekano wa kujua umri wa mimba??
Nawasilisha.

Kimbia! Kitu kizito kimerushwa hicho!
 
Back
Top Bottom