Je hii inawezekana TANZANIA?

Kwa hii serekali ya CCM inakotupeleka sasa kuna uwezekano mkubwa tukawa na mawaziri wazungu, its easy litakuja jitu lina mihela yake (si unajua wasivyojiweza wakiskia pesa??) likianza kuzimwaga tu chamani watalitafutia kanafasi huko juu.Si mmeona jinsi wadosi wanavyotumia hela zao kuingia serekalini?wote hao wanajidai ni wabongo lakini ukienda kwa Rostam na Dewji utakuta passport zao za kihindi.
 
Hivi mkuu, hilo jina ni KanaKansungu au KanaKasungu?
 
Hivi mkuu, hilo jina ni KanaKansungu au KanaKasungu?
Kana-Ka-Nsungu- si unajua kila kilicho bora waswahili tuna kasumba ya kuki associate na uzungu- mtaa wenye nyumba nzuri-uzunguni, hata muembe ukiwa unazaa maembe matamu watu watauita "muembe mzungu", na kwa uzushi huohuo na mimi nikapachikwa jina hilo!!lol
 
Huyu jamaa alizaliwa Aghanistan na ni mtaalam mzuri sana wa masuala ya Intel Relations...lakini America being America hawakujali kama ni Muislam wala kazaliwa wapi...sasa hivi anawakilisha United States kule UN...na alizaliwa MAZARI SHARIFF na ni PASHTHUN huyu!

ANAITWA KHALIZAD ZALMAY

0_61_khalilzad_zalmay.jpg

Biographies - United States Department of State

huyu bibie anaitwa MADELINE ALBRIGHT naye hakuzaliwa United States, huyu alizaliwa na alikuwa ni Foreign secretary wa BILL CLINTON alizaliwa PRAGUE, Czechoslovakia (sasa hivi CZECH REPUBLIC)
albright-madeleine.jpg

Je sisi tunaweza kuwakubalia wazaliwa nje ya Tanzania ambao wanamoyo wa kulitumikia Taifa letu bila kusimangwa?
Hata Elon Musk hakuzaliwa Marekani lakini sasa hivi ni miongoni mwa raia halali wa Marekani.

Hivi akiutaka uraia wa Tanzania atapewa?
 
Back
Top Bottom