Je hii inawezekana Bongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii inawezekana Bongo?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by LadySwa, Jun 27, 2009.

 1. L

  LadySwa Member

  #1
  Jun 27, 2009
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wajameni ninakabanda kangu Bongo je kuna uwezekano wa kuweka Water gutters ili nisinunue hata maji ya vyoo. Inaweza ikanighalimu sh ngapi pamoja na
  ufundi.La pili je? Sola kwa taa ,Tv,na Friji je inaweza kuwa madafu mangapi.?
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  LadySwa swali lako ni very technical, nipe yr contact for advice,kama uko dar!
   
 3. Ncha

  Ncha JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwenye swala la gutters inawezekana sana. unanunua gutter na pipe zake pia unajenga kisima cha kuhifadhi hayo maji. sina uhakika wa bei ila gutter 1 ya urefu wa 6meter ni around sh 85,000/= bei ya mwaka jana nabaki afrika
   
Loading...