Je hii inaweza kuwa njia sahihi kukabiliana na wasaliti baada ya 2015

Mottee

Member
Mar 21, 2013
95
19
"DW (Kiswahili)
Korea ya Kaskazini imesema leo hii imemnyonga mjomba wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-Un na mtu mwenye ushawishi mkubwa wa utawala wa nchi hiyo, Jang Song-Thaek, kwa hatia za usaliti wa zama zote. Je, hii ni njia ya kuelekea mabadiliko nchini humo?"


Kama ni njia sahihi, je CHADEMA inahitaji kutumia njia hii kukabiliana na wasaliti ndani ya chama na pale watakapochukua dola?
 
Back
Top Bottom