Je, hii inakukumbusha nini kwa siasa za Tanzania?

matunge

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
442
426
Cartoon Ni Kwa hisani ya This Is Africa.
FB_IMG_1573933586504.jpeg
 
Huyo dogo hapo chini angekuwa anajitambua angetafuta panga na kukata mguu moja tu wa kiti na kuumilikii, tosha kabisa kumfanya huyo mroho kujifikiria upya. Mguu unaweza kuwa Bunge, Mahakama, Jeshi au Wananchi kwa umoja wao.
 
Tatizo kuna wala mabaki,wanadhani mabaki ndio stahiki yao
 
Back
Top Bottom