Je hichi nancho ni kiini macho cha Katiba ya sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hichi nancho ni kiini macho cha Katiba ya sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chapakazi, Feb 11, 2011.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sababu kuu ya Chadema kugoma kushirikiana na CUF ni kwa vile CUF ni sehemu ya serikali ya umoja huko Zanzibar. Mimi nauliza ivi kama CUF ingeshinda kuongoza Zanzibar bila serikali ya umoja, na CCM kushinda Bara kwa kutoa Rais na majority bungeni, je CUF bado wangeweza kuwa wapinzani bara?

  Je Wabunge wawakilishi (5) katiba bunge la bara kutoka visiwani, wangetoka CUF na kuongeza idadi ya wabunge wa CUF bungeni? Au wao wangehesabiwaje?

  Katiba inasema nini kuhusu kuwa na serikali mbili zinazoongozwa na vyama viwili tofauti? Je na CCM nayo ingekuwa wapinzani huko visiwani?

  Na hata tukiwa na serikali tatu (sera ya Chadema), hili jambo litakuwa solve kwa njia gani?
   
Loading...