Je?hawa mapacha wananichezea shere ama vp?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
kuna madada wawili mapacha mtaa ninaoishi.ni wageni na wamehamia yapata mwezi mmoja.nitawaita jane na june.nilimuuzia sera zangu jane na akanikubalia 2we wapenzi.lakini kila nnapokuwa nae huhisi kuwa pengine ni june na hujaribu sana katika maongezi nidadisi kama sio shere ninachezewa bali nimeshindwa.hivi kuna njia naweza watofautisha kweli?
 
Sasa tutakusaidia vipi na wakati wewe ndio unawajua. tafuta njia ya kuwatofautisha la sivyo utajichanganya we mwenyewe
 
Abdul naona umenipata kimakosa.nimesema kanikubalia urafiki.na ndio unavyosema mkuu reo ni kweli mi ndio nawajua lakini hata wewe hujawahi ona mapacha waliofanana kiasi cha mama yao tu ndio anaweza watambua?ndio nikauliza pengine kuna yeyote ana njia ya kutofautisha viumbe aina hiyo anijuze.
 
Tatizo liko wapi? kuwa rafiki na wote na ikiwezekana wakiingia 18 zako fanya kweli. Mapacha wengi hupenda ku-share kila kitu.Ilinikuta hiyo mapacha hupenda kuchezea akili za watu si kitu cha ajabu mapacha wa kiume ku-share demu.
 
tafuta alama: hasa kovu lolote au baka huwa zipo tu, mapacha wengine kazi kweli kuwatofautisha....
 
na mkumbuke wadau hawa mapacha bado wageni mitaa ya kwangu so inakuwa tyt kuwachunguza kiundani hata kujua kama wana alama za kuzaliwa ama la.nway namuunga mkono anaesema atakae ingia eneo langu la d nifanye kweli.wacha nivute subra.
 
ahahahah interesting, utakayempata wa kwanza mtie tracking device mahala fulani...this way utamspot from a distance hata wawe wanafanana kama punda!!!! lol
 
ahahahah interesting, utakayempata wa kwanza mtie tracking device mahala fulani...this way utamspot from a distance hata wawe wanafanana kama punda!!!! lol[/QUOTE

Weka alama shingoni (mbele). Hapo itakuwa cool!!
 
Abdul naona umenipata kimakosa.nimesema kanikubalia urafiki.na ndio unavyosema mkuu reo ni kweli mi ndio nawajua lakini hata wewe hujawahi ona mapacha waliofanana kiasi cha mama yao tu ndio anaweza watambua?ndio nikauliza pengine kuna yeyote ana njia ya kutofautisha viumbe aina hiyo anijuze.
Aisee wewe bado hujampenda mtoto! Sema ukweli! Mtu ambaye umempenda na kumzimia akakuingia mpaka mifupani huwezi kushindwa kumtofautisha na pacha wake mpaka utuulize hapa JF mbinu zakufanya? Mi sikuelewi. Mbona njia ni nyingi tu?? Sauti, tabasamu, tembea, haiba, macho, nk. Hata kama watakuwa wanafanana namna gani baada ya kitambo utaweza kuwatofautisha. Pole sana mzee. Ila kwanza mpende sawasawa na mfunge ndoa. Siyo sawa kufaidi bila kuwa na wajibu.
 
Hiyo mbona rahisi... chunguza interest zake/zao utakuja kugundua tofauti kama kuna kamchezo unafanyiwa...
 
Njia nzuri kila mmoja mpe jina lake tofauti na mwenzie,yaani Jane waweza kumwita A na mtaarifu kua wewe wamwita A,then wapili mpe labda Ashura.Sasa ukitaka kujua yupi ni yupi kila unapokutana nao jaribisha majina hayo kwa kila mmoja hapo utakua unamjua yupi ni yupi.Akija jane mwambie mambo A?Akigoma itika ujue huyo ni June then vice versa to June
 
Sioni mbaya kama wamependa wenyewe wachapwe bakora moja na jamaa...kwanza siutakuwa unapata taste tofauti au na test zitafanana! lol.
 
Sioni mbaya kama wamependa wenyewe wachapwe bakora moja na jamaa...kwanza siutakuwa unapata taste tofauti au na test zitafanana! lol.

ahahahahaha, hebu ajaribu na arudi hapa JF na taarifa kamili..that wd be interesting!
 
Njia nzuri kila mmoja mpe jina lake tofauti na mwenzie,yaani Jane waweza kumwita A na mtaarifu kua wewe wamwita A,then wapili mpe labda Ashura.Sasa ukitaka kujua yupi ni yupi kila unapokutana nao jaribisha majina hayo kwa kila mmoja hapo utakua unamjua yupi ni yupi.Akija jane mwambie mambo A?Akigoma itika ujue huyo ni June then vice versa to June

Sio rahisi kihivyo wataelezana tu,labda niwape kilichonitokea miaka ilopita. Nilianzisha uhusiano na pacha mmoja sasa wakati mwingine tukiongea namuuliza kitu flani tulichoongea anadai kasahau nikahisi wanakula wote.Siku moja nikamuweka 'livebite' ndogo mmoja wao nyuma ya shingo,kesho yake aliekuja hakuwa na alama.Mwenye alama akaja siku ya pili yake.Nikajua wananichezea basi mi nikawa anaekuja bakora tu.Sasa mmoja akanipenda kweli,akaniambia mchezo wao na kuomba msamaha nikamwambia sasa dada yako atakuwa mke mwenza au shemeji? Nikawapiga chini wote.
 
kuna madada wawili mapacha mtaa ninaoishi.ni wageni na wamehamia yapata mwezi mmoja.nitawaita jane na june.nilimuuzia sera zangu jane na akanikubalia 2we wapenzi.lakini kila nnapokuwa nae huhisi kuwa pengine ni june na hujaribu sana katika maongezi nidadisi kama sio shere ninachezewa bali nimeshindwa.hivi kuna njia naweza watofautisha kweli?

Kukata issue wape password tofauti:confused:
 
Back
Top Bottom