Pezzonovante
JF-Expert Member
- May 1, 2008
- 638
- 41
Ebu Oneni Picha Kwa Kubwa Japo Si Nzuri ,naona Sasa Kama Tunapelekwa Kwenye Ukabila Pole Pole Na Watu Hawa Walioishiwa Sera Na Mitaji Ya Kisiasa,ebu Angalia Lowasa Alipotemwa Akaenda Jimboni Kwake Kutushitaki,kwamba Tuna Mwaonea Yeye Ni Safi,kwanini Nasema Anatushitaki Kwani Bungeni Kuna Mwakilishi Wako Pale, So Wanaenda Jenga Chuki Dhidi Ya Makabila Na Wawakilishi Wa Mijmbo Mengine Naye 50cent Alikwenda Kwa Wanazengo(wananchi} Kwa Mantiki Hiyohiyo Na Haijapita Muda Hata Damu Za Ngombe Walio Uwawa Kule Jimboni Kwa Akina 50cent Azijakauka,oooh Bubu Naye Kaenda Kusema Kwao Lupaso Na Watu Wakawa Wanamshangilia Kwa Namana Nyingine Wako Pamoja Naye,akina Che Mwali Katika Vita Hii,je Si Kwamba Nchi Sasa Inaingizwa Kiujanja Kwenye Vinyongo Vya Umajimbo Na Ukabila .