Je, hapa ungemsaidia nani?

Amafita

Senior Member
Jul 22, 2019
144
250
Kusema ukweli hili limekuwa ni jambo tunalokutana nalo kila siku kwenye pilikapilika za hapa na pale hasa kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma.

Ingekuwa wewe ndio umekaa unadhani ungempa siti yupi kati ya hao waliosimama? Nani anastahili sana kuliko mwingine?

Screenshot_20200615-002518_1600247248360.jpg
 

Amafita

Senior Member
Jul 22, 2019
144
250
Unataka nifikirie jinsi unavyofikiria wewe?
Namaanisha hv; kama aliyeingia wa kwanza ni mgonjwa tu,then akafuata kipofu,ishu sio aliyeingia wa kwanza ila ukiangalia hiyo picha ni kwamba ungempisha nani, imagine wote wamesimama halafu ww umekaa
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,687
2,000
Namaanisha hv; kama aliyeingia wa kwanza ni mgonjwa tu,then akafuata kipofu,ishu sio aliyeingia wa kwanza ila ukiangalia hiyo picha ni kwamba ungempisha nani, imagine wote wamesimama halafu ww umekaa
Ningempisha aliyetangulia.
 

bwii

JF-Expert Member
May 24, 2014
1,211
2,000
Kama nmelipa nauli ntabaki hapohapo,ila kama nimepanda bure aliyekaribu yangu na amelipa nauli ndio nitampisha sababu magari yapo mengi na wangeweza kupata siti ya kukaa.
 

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,519
2,000
Ningefanya kuwashauri abiria wenzangu idadi sawa na hao wenye uhitaji tushuke ili wao wapate nafasi wakae sisi tusubiri bus/train inayofuata.
 

mwakyindi

JF-Expert Member
May 7, 2018
575
500
Cwez kumsaidia yoyote maana hakuna alie walazimisha kupanda Basi lililojaa uwo niuwamuzi wao co nawaacha wapambane2 na hali zao2
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom