Kitakuwa cha siasa tu,we ulidhani cha mpira?Naomba mwenye taarifa anijuze ni chama gani kinaongoza halimashauri ya ikungi kwa tundu lissu pamoja na idadi ya madiwani kwa kila chama.
Ahsante.
Kwani ya ilala inaongozwa na chama gani?Naomba mwenye taarifa anijuze ni chama gani cha siasa kinaongoza halimashauri ya ikungi kwa tundu lissu pamoja na idadi ya madiwani kwa kila chama.
Ahsante.
Ahsante mkuu nimefurai sana kusikia makamanda wanaongoza halmashauri.Ikungi inaongozwa na chadema ila idadi ya madiwani sijui labda umuulize lissu mwenyewe.
Inaongozwa na ukawa chadema na cuf.Kwani ya ilala inaongozwa na chama gani?