Je,hali ya mbunge wetu wa Kalenga inaendeleaje?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Tafadhali wana jf,kama kuna anae jua maendeleo ya afya ya mbunge wa Kalenga atujuze maana mitaa ya kalenga na viunga vyake kuna pang'ang'a nyingi zisizo na mashiko,hivyo ni vema jambo hili liwekwe sawa kwa wapiga kura.
 
Hali yake bado ni mbaya sana na inasemekana hataweza tena kuendelea na nafasi za uongozi!
Itakumbukwa kwamba ni yeye alichomekea kipengele cha wananchi kukatwa kodi za line ya simu kwenye budget iliyopita! Hii inawezekana ni laana ya wananchi maana walilalamika sana lakini hakuwasikiliza! Poor guy!
 
mkuu mbunge wetu kweli anaumwa lakini anaendelea vema tumuombee sote mungu amrejesheee afya yake.
 
Hali yake bado ni mbaya sana na inasemekana hataweza tena kuendelea na nafasi za uongozi!
Itakumbukwa kwamba ni yeye alichomekea kipengele cha wananchi kukatwa kodi za line ya simu kwenye budget iliyopita! Hii inawezekana ni laana ya wananchi maana walilalamika sana lakini hakuwasikiliza! Poor guy!

mimi naomba hii laana iwapate wewe na familia yako.
 
Kuna Mwana Jf Alitupia Comment Kuwa Waziri Tayari R I H MODS Waliondoa Haraka Usiku Ule Ule!
 
Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kila jambo,ila vyombo vya habari vya nchi hii vinapoteza credibility,vinashindwaje kujuza umma hali ya mbunge wao mpendwa?
 
Nilisoma thread fulan hapa jamvin kuwa Hatunaye tena!!Lakini ilikuwa tetesi tu.Ukweli utajulikana tu km Atavusha japo x mass au angalau ataimaliza 2013!!
 
Back
Top Bottom