Uchaguzi 2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,507
141,236
Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai.

Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais.
Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya kisiasa jijini Arusha.

Nauliza tu Lema bado ana nia ya kuhama jimbo?

Maendeleo hayana vyama!
 
Edit hapo juu futa hiyo mtumishi wa MUNGU Hana sifa hiyo
 
Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.
 
Lema ana wakati mgumu, CCM hawatakubali kulikosa tena hilo jimbo.
 
Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.
Vurugu huwa zinaanzishwa na vyombo vya dola,kaa chini think straight ukiwa neutral boss.Au una ushetani shetani?
 
Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.

Unaweza ukawa sahihi kuwa CCM watachukua ubunge. Lakini naomba tu kuambiwa hivo vurugu (wengine wamesema maandamano) zimetokea lini toka 2015.
 
Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote Arusha....Chadema hawana jipya.
Mafioso baba kwa hiyo Lema ashawahi Leta vurugu Arusha lini?Aliyetumbuliwa juzi na ngazi yote ya juu alikuwa ni Lema?kweli kuwa CCM inahitaji kuwa mpumbavu wa Hali ya juu.
 
Back
Top Bottom