johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,904
- 141,853
Kwa muda sasa pamekuwepo tetesi kwamba mbunge wa Arusha mjini mtumishi Godbless Lema ataachana na jimbo lake la sasa la Arusha mjini na kuhamia Hai.
Tetesi hizo zilishika kasi baada ya mbunge wa Hai mzee Mbowe kutia nia ya kugombea urais.
Hata hivyo ilisemekana pia Lema ana hali ngumu sana ya kisiasa jijini Arusha.
Nauliza tu Lema bado ana nia ya kuhama jimbo?
Maendeleo hayana vyama!