Je, gharama za kuweka nguzo zimepungua?

KIBESENI

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
339
268
Nasikia lakini siamini, ebu mnisaidie. Nasikia ghalama zakuweka umeme bila nguzo ni shilingi f25 tofauti na zamani ambapo ilikuwa 170,000. Nasikia punguzo limekuja baada ya kodi zote kuondolewa, KUNA UKWELI LAKINI!! . EBU NISAIDIENI.
 
Back
Top Bottom