Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
- Thread starter
- #21
Nakubaliana na wewe kuwa katuni ni fasihi andishi lakini ndo ujiulize unadhani kwa nini hadi niipost wakati kuna katuni nyingi tu. Hii inaonyesha wazi kuwa, navifahamu kwa Kiwango kikubwa sana. Kama utulie uangalie mazingira waliyomo wale Marais wanaotusuluhisha uangalie mahusiano ya Tanzania na nchi hizo halafu angalia uhusiano wao na Malawi. Kisha angalia miaka na mikataba ya kikoloni tangu ule wa kwanza 1885, 1890 na wa baada ya WW I.Ila boss lazima ujue ukiweka uzalendo pembeni..haki sio sheria..Tunaweza kua na haki ila mikataba ya kikoloni inatukaba..halafu Katuni ni fasihi andishi huwezi I judge hivyo
Sent from my TECNO DP7CPRO using JamiiForums mobile app