Kibaha kwa Mathias, ingia kulia..........nenda mpaka jeshini, weka order yako.\
Itakuwa delivered baada ya miaka sita.
candid hebu nunua swift 1 mtumie ndugu yako yyt alitumie baada ya miezi 5 itawaka ya taa ya engine kwenye dashboard mwambie apeleke kwa fundi waitengeneze baada ya miezi 2 muulize anawajua mafundi wangapi wa swift hapa tanzania , ukitaka kukaa na hii swift uwe na gari nyingine hii iwe ya week end tu kuendea beach na abiria 1 tu usiipe mzigo
Dah! Wewe jamaa hebu fafanua kidogo kwenye hicho kipengele cha kuwaka taa ya njano ya check engine! Ni dalili ya tatizo gani kwa hili gari?candid hebu nunua swift 1 mtumie ndugu yako yyt alitumie baada ya miezi 5 itawaka ya taa ya engine kwenye dashboard mwambie apeleke kwa fundi waitengeneze baada ya miezi 2 muulize anawajua mafundi wangapi wa swift hapa tanzania , ukitaka kukaa na hii swift uwe na gari nyingine hii iwe ya week end tu kuendea beach na abiria 1 tu usiipe mzigo