. mkurugenzi wa clouds anasukuma Bentley,
Bentley MTUMBA kama kawaida ya Wabongo!!!
. mkurugenzi wa clouds anasukuma Bentley,
Usidharau wabongo wewe. Kuna Bentley mulsanne mpya kabisa.Bentley MTUMBA kama kawaida ya Wabongo!!!
Gari zipi ni fake?
Duniani kuna gari fake na original
brands za gari zilizotajwa hapo juu mfano ferrali, hakuna fake kwa sababu kampuni ni kubwa hizo utazitengenezea wapi fake ?
Duh kumbe kuna gari fake? Hebu tutajie mfano hata moja mkuu ili tusije kupigwa
hakuna buggatti ila niliona aventador moja posta aisee hatari sana
mkuu, mimi nimesema hakuna gari fake wakati namkosoa huyo jamaa hapo juu aliyedai kuna gari fake
Duuh watu wanakula mema ya nchi kimya kimya.hapana ilikuwa video ina plate number ya tanzania kabisa na haikuwa apo viva tower ilikuwa imepaki pale benjamin mkapa tower kwa nyuma mkuu, lenyewe kabisa nikajisemea duuuh...kama mtu ana ile video anaweza akakuonyesha
Duuh watu wanakula mema ya nchi kimya kimya.
Hiyo sijawai iona
Juma Kassim Nature Kiroboto ana BugattiKuna msanii hata mmoja hapa tz anamiliki?
Nilimsikia Diamond mwaka alisema amenunua Rolles Royce sijui imeishia wapi..
Amehojiwa juzi hapa akalitolea majibu, kama unavyojua sisi wa tz tulivyo hatukosi point za kujitetea.
Bugatti ipo dar1.hizo gari hazina fake so ukimuona mtu anayo ni OG.
2.Bugatti na hizo zote ulizotaja zipo huko darisalama huwa naona kwenye picha ila ni za wafanya biashara.
3. mkurugenzi wa clouds anasukuma Bentley, hivo wasanii kama ulivoulizia sidhani kama wanazo