Je, Freeman Mbowe alitumia Mkutano wa Chadema kujimwambafy?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Hata CCM hakuna mtu aliyewahi kutumia mabilioni yake kwa ajili ya Chama

Kwamba yeye Mbowe peke yake ndio amewashawishi mh Rais Samia na Komredi Kinana kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya

Dominica njema!
 
Wewe unafikiriaje? Wewe huelewi kuwa hakuna chama kinachoitisha sisiemu zaidi ya hicho??
 
Huko CCM inasemekana Sukuma Gang walikuwa hawataki maridhiano, na kule Chadema wafuasi mihemko wanaona maridhiano ni kupoteza muda hata kama walivyotaka kwenye mazungumzo baadhi wameanza kuvipata..

Kuna ujinga mwingi sana kwenye siasa za vyama vyetu, na bahati mbaya zaidi, hao wajinga wakati mwingine ndio wanalazimisha kuweka kiongozi wamtakaye!.
 
Nimekuelewa
 
Hata CCM hakuna mtu aliyewahi kutumia mabilioni yake kwa ajili ya Chama

Kwamba yeye Mbowe peke yake ndio amewashawishi mh Rais Samia na Komredi Kinana kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya

Dominica njema!
ndo yeye kwani alikua na nani
 
Huko CCM inasemekana Sukuma Gang walikuwa hawataki maridhiano, na kule Chadema wafuasi mihemko wanaona maridhiano ni kupoteza muda hata kama walivyotaka kwenye mazungumzo baadhi wameanza kuvipata..

Kuna ujinga mwingi sana kwenye siasa za vyama vyetu, na bahati mbaya zaidi, hao wajinga wakati mwingine ndio wanalazimisha kuweka kiongozi wamtakaye!.
Unataka wanachama wote wa Chadema wakubaliane na mbowe kwenye swala la maridhiano yasiyo na maana kwao ?
 
Labda kama umesahau CCM lowassa ametumia hela zake nyingi sana mkamtosa.
 
Hata CCM hakuna mtu aliyewahi kutumia mabilioni yake kwa ajili ya Chama

Kwamba yeye Mbowe peke yake ndio amewashawishi mh Rais Samia na Komredi Kinana kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya

Dominica njema!
Hebu twambie ww ujuavyo kuhusu huo ushawishi wa mpaka kufunguliwa kwa mikutano ya kisiasa ambayo ilizuiwa na bwana yule na kuvunja katiba!!
 
Hata CCM hakuna mtu aliyewahi kutumia mabilioni yake kwa ajili ya Chama

Kwamba yeye Mbowe peke yake ndio amewashawishi mh Rais Samia na Komredi Kinana kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya

Dominica njema!
WAJINGA mnazidi kuongezeka ni hatari kwa Afya ya TAIFA
20221104_231648.jpg
 
Kwamba yeye Mbowe peke yake ndio amewashawishi mh Rais Samia na Komredi Kinana kuruhusu Mikutano ya hadhara na kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya
lazima ajisifu kutokana na aliyopitia ie kuitwa mlamba asali ila kutokana na msimamo na uvumilivu matunda yameoneka vipi wale wa kikosi kazi ambao waliambiwa taarifa yao sio lazima ifanyiwe kazi
 
Back
Top Bottom