Je Forums Ni Salama ???

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Baada ya kuelezea kidogo jinsi ya kutrace email na mambo mengine watu wanataka kujua jinsi ya kuficha ip address zao , wengine wameuliza kama forum wanazotembelea ni salama au la , wengine wanaogopa kukanyaga hizi forum kutokana na usalama .

Labda tuambiane ukweli kila forum inatakiwa iwe na sheria na kanuni zake , wakati unajisajili tafadhali soma hizo sheria na kanuni zinasema nini katika usalama wa mtu uhuru na mambo yake mengine pindi anapotuma au kuchangia kitu Fulani .

Ubaya ni kwamba forum nyingi zinatumia sheria na kanuni za nchi za ulaya na asia kwa sababu zimetengenezwa na watu wa huko mara nyingi au mtu amenunua huko kwa njia ya mtandao au kwa njia zingine kwahiyo unakuta vifungu vinavyoelezea ni vya nchi hizo husika .

Sasa sijaweza kujua kama mimi niko hapa , nimechangia kitu kikaleta balaa inapofikia wakati wa kutolewa kumbukumbu zao zitatumika sheria za wapi au itafanyika utaratibu gain kwa sababu hapa Tanzania sheria mtandao ndio hii ambayo watu wanahepa kuongelea mara kwa mara .

Kwa vyovyote vile tunapoongelea usalama wa forum na wanachama huu ni uhusiano kati ya mwenye kumiliki au kuendesha forum hiyo na wanachama wa forum hiyo , kuna forums ambazo kuna wengi zaidi wenye maamuzi ya kuweza kuangalia nani yuko wapi na kutoa siri hizi kwa watu wengine wasio husika .

Kwa leo tutaangalia mfano wa phpbb , kumbuka kuna programu nyingi zinazotumika katika kuendesha hizi forum mimi nimeamua kutumia phpbb kama mfano utaweza kuona jinsi mtu anavyoweza kuwa na taarifa zako chache tu .

ANGALIA ATTACHEMENT KWA MAELEZO ZAIDI
 
attachment iko wapi?
 
Internet ni complex kinoma, ila watu wakitaka kujua details zako wanapata bila hata ya mwenywe forum kujua, moja wapo ni ku fish IP address yako na location yako kupitia servers wako. Ziko tools kibao za kufanya kazi hizo.
Ila hizi zinatumika hasa kwa ajili ya kupata infomation za password za Credit card n.k.:shock: Bado tuko safe jamani!
 
eti ee angalau umetufumbua macho
 
as long as any1 can fetch ur IP add...no one's safe..me nshawah ku2mia 'hide my IP' ili niangalie Lost kwnye site ya ABC..lkn haikufanya kaz wala nn!bdo walikua wanaona natoka nchi gan!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom