Je Erolink ni reliable recruitment agency?

Maswa

Member
Feb 17, 2011
50
3
Wameniita kwenye interview ya Contract manager. Je, hii Contract Manager ni kwa Kampuni gani? Naomba msaada.
 
Erolink wenyewe watakuambia ukienda for interview...cha msingi, itika wito!
 
Fika ofisini kwao ndo utajua! kwani wewe uliomba specific post au ulipeleka tu CV wao ndo wamekuunganisha na hiyo post?
 
ni waunganishaji wazuri kati ya watafuta kazi na mwajiri, wanyonyaji sana ukiwa chini yao
 
i work under this company ni wanyonyaji balaa nusu ya mshahara wako ni wa kwao kila mwezi mpaka utakapoamua kuacha kazi,then wanalipa kwa masaaa makato yao ni balaa,kama huna pa kwenda kabisa just go but kama unapa kujishkiza for now usipoteze muda wako hawa jamaa ni stress tupu,
 
i work under this company ni wanyonyaji balaa nusu ya mshahara wako ni wa kwao kila mwezi mpaka utakapoamua kuacha kazi,then wanalipa kwa masaaa makato yao ni balaa,kama huna pa kwenda kabisa just go but kama unapa kujishkiza for now usipoteze muda wako hawa jamaa ni stress tupu,
Kwenye hiyo font nyekundu mkuu...upo serious, mshahara pasu kwa pasu mpaka utakapoachana nao?
 
Tupe link mkuu na wanapatikana maeneo gani?
Mkuu wapo hapa morroco..barabara ya kwanza nyuma ya sheli au lile contaner la BURGER...unanyoosha na hiyo barabara mpaka mwisho then utashuka nayo kidogo tu utajikuta upo office zao!...wanachukua CV then wataku-contact kama kazi uliyoiweka kwenye "objective" au "area of specialization" kwenye CV yako ikitokea.
 
Vodacom wnawatumia sana hawa erolink. Wao ndo wanawafanyia watu interview then ndo wanawapeleka
 
Kuna ero link ingine iko masaki sasa cjui ina uhusiano gani na ile ya moroco dsm..tupeni tofauti zao au majina yamegongana?
 
Kuna ero link ingine iko masaki sasa cjui ina uhusiano gani na ile ya moroco dsm..tupeni tofauti zao au majina yamegongana?

erolink ni hiyo moja walikuwa moroco kwasasa wamehamia masaki opp. marrybrown nipo chini ya hawa recruiters wengi wanasema ni wanyonyaji lakini atleast wanakupa cha kufanya try ur luck kuliko kukaa nyumbani and its true they are reliable recruiters.
 
Wameniita kwenye interview ya Contract manager. Je, hii Contract Manager ni kwa Kampuni gani? Naomba msaada.

ni wezi wakubwa
ukiwa chini yao unakatwa ppf/nssf 20%
hawakuchangii hata mia
nina mdogo wangu anafanya hapo
kama huna inshu nenda pati pa kipuuzi balaa
 
Wanasaidia sana kupata vijana walio on transit kusubiri maisha mapya yenye proffessional zao wanawapatia nauli ndogo ndogo na kuwa at least wanatoka home kila asubuhi na kupata uzoefu wa ajira!!!wanajitahidi sana bana makato ndio nao wana survive ati!!!
 
ok..Kumbe wamehamia masaki..........kuna jamaa yangu aliomba nafasi ya IT Manager walimuita wakamuambia asubiri watampeleka kwenye kampuni husika kwa interview.
 
Hawana lolote wababaishaji tu,wanakuangalia kama wakijua ww mjanja ulishasain mikataba kadhaa ya kazi na unafahamu haki zako km mfanyakazi wanakupotezea na hawakupeleki kwa mwajiri,
Dada yangu alishaitwa pale mara 2 ya kwanza aliperfom vizuri siku ya kukutanishwa na mwajiri wkamhoji kwanza pale maoni ya mshahara na mambo mengine kuna vitu akawa anahitaji kueleweshwa hawakumjibu wakamwambia watampigia simu wakampotezea,

Wakamuita tena kwa mara ya pili akafaulu ile interviews,akakutanishawa na mwajiri ila mkataba ukawa ni km mwajiriwa wao na kuna makto ya ajabu alipowabana wakakosa majibu wakamwambia watampigia simu ili aje kusain mkataba hawakumwita kwa vile tayarialikuwa kazin naye hakuhangaika nao,

Wale wanataka watu ambao ndio wametoka vyuon wasiojua chochote kuhusu mikataba ya ajira ili kuwazulumu na hao ndio huwa wanawapa kazi,
Km huna kazi nenda ukategeneze cv yako ukiwa uantafuta ishu zingine!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom