Kwenye hiyo font nyekundu mkuu...upo serious, mshahara pasu kwa pasu mpaka utakapoachana nao?i work under this company ni wanyonyaji balaa nusu ya mshahara wako ni wa kwao kila mwezi mpaka utakapoamua kuacha kazi,then wanalipa kwa masaaa makato yao ni balaa,kama huna pa kwenda kabisa just go but kama unapa kujishkiza for now usipoteze muda wako hawa jamaa ni stress tupu,
Mkuu wapo hapa morroco..barabara ya kwanza nyuma ya sheli au lile contaner la BURGER...unanyoosha na hiyo barabara mpaka mwisho then utashuka nayo kidogo tu utajikuta upo office zao!...wanachukua CV then wataku-contact kama kazi uliyoiweka kwenye "objective" au "area of specialization" kwenye CV yako ikitokea.Tupe link mkuu na wanapatikana maeneo gani?
.Wameniita kwenye interview ya Contract manager. Je, hii Contract Manager ni kwa Kampuni gani? Naomba msaada.
Fika ofisini kwao ndo utajua! kwani wewe uliomba specific post au ulipeleka tu CV wao ndo wamekuunganisha na hiyo post?
ni waunganishaji wazuri kati ya watafuta kazi na mwajiri, wanyonyaji sana ukiwa chini yao
Kuna ero link ingine iko masaki sasa cjui ina uhusiano gani na ile ya moroco dsm..tupeni tofauti zao au majina yamegongana?
Kuna ero link ingine iko masaki sasa cjui ina uhusiano gani na ile ya moroco dsm..tupeni tofauti zao au majina yamegongana?
Wameniita kwenye interview ya Contract manager. Je, hii Contract Manager ni kwa Kampuni gani? Naomba msaada.